Nauza bajaj aina ya 2 stroke

Nauza bajaj aina ya 2 stroke

Bobo

Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
54
Reaction score
8
Ndug wana JF.,Habari zenu..
Nauza bajaj 2 aina ya 2stroke zipo katika hali nzuri na zinatembea barabarani.
Kwa kila moja bei yake ni sh MILLIONI MOJA NA LAKI NANE (Tsh 1,800,000).
Zipo eneo la Mwenge opposite na Efatha bank.
Kwa mawasiliano zaidi 0717-163106
clip_image001.gif

 
Back
Top Bottom