Boresha Afya Yako... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boresha Afya Yako...

Discussion in 'Matangazo madogo' started by gorretti54, Jun 22, 2012.

 1. gorretti54

  gorretti54 Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibuni mboreshe afya zenu(ikiwezekana na kipato) kwa kutumia bidhaa bora kabisa ulimwenguni zilizotengenezwa na aloe vera(Shubiri).
  Bidhaa kama Forever Bright Toothgel(Bidhaa ya meno) ni bidhaa inayotumiwa sana hapa Tanzania kwa wakati huu kwa watu wanaojali afya zao.
  Bidhaa hii ni nzuri na inaweza kumezwa(hata na watoto wadogo) bila kuleta madhara mwilini na inaweza kutumiwa katika matumizi mbalimbali.
  Haina Fluoride kama dawa za kawaida za meno tunazotumia.
  Fluoride ina madhara mengi kwenye mwili wa binadamu kama ikiingia/imezwa ndani na vilevile baada ya matumizi ya mda mrefu hukwangua ile layer ya juu ya jino-ENAMEL na hivyo kusababisha matatizo makubwa ya meno.

  forever_bright_toothgel.jpg Tsh 13,000/-

  aloe_ever_shield_deodorant.jpg Tsh 12,000/-

  Kwa maelezo zaidi ya bidhaa hizi bora kabisa za Aloe vera tembelea blog/tovuti hii:

  http://mariettamakoye.wordpress.com/
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Peleka huko hizo takataka. Samahani kama nimekukera. Watanzania tuna uzoefu wa kutosha wa hao akina GNLD, Forever Living na bra bra....WIZI MTUPU! Serikali dhaifu hadi watu wake wanalishwa sumu mchana kweupe in the name of supplements!
   
 3. gorretti54

  gorretti54 Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana haujanikera ila umenifurahisha sana tu. Ni asilimia kubwa sana ya watanzania wanawaza kama wewe. Tatizo ni haujaelimishwa vya kutosha. Hata yule mwanakijiji wa ndani ndani kabisa ukimpa option ya kutolewa busha lake kwa operation au kubaki hivyohivyo ataamua kubaki hivyo hivyo tena atakuporomoshea matusi yanayokera zaidi. Ila wewe wa kimjinimjini ukipata busha unajua tu ni operation ndogo mtu unakuwa fit. Tofauti yenu ni uelewa. Hivi unavyotumia simu yako ya touch screen huwa hujiulizi kuna utafiti gani umefanyika nyuma yake mpaka kikatokea hicho kijisimu au huwa unatumia tu? Ukifanya uchunguzi utagundua kwamba hizi badhaa zimefanyiwa utafiti wa hali ya juu na zimekuwa approved na vyombo vinavyotambulika Kimataifa. Kimsingi vimepitia reasearch kubwa labda kupita hata hiyo touch screen phone yako unayoithamini kiwango chake. Mimi nimeweka habari njema hapa , mwenye interest anaweza akaangalia, asiyependa basi . Unaweza ukaona hivi ni sumu lakini kuna watu vimewatoa kitandani wakiwa hoi bin taaban kwa muda mfupi tu. Sasa kama wewe umeamua kumpiga mswaki mtoto wako na dawa zetu zenye fluoride ambazo zinang'arisha meno kwa kuyakwangua na ikimezwa ni hatari , au kama umekuwa unatumia antiperspirants deodorants zenye aluminium kwa maisha yako yote au kama mke wako anatatumia lipstick ya kichina yenye rangi zisizojulikana zimetoka wapi ukaona haulishwi sumu mchana kweupe tuache sisi tutumie bidhaa za aloe vera ambayo hata mababu na mababu zetu wamekuwa wanaitumia kutokana na ubora wake. Usisikilize maneno ya watu mara oh hao freemasons mara hivi mara vile. Fanya utafiti wa kina.
   
 4. gorretti54

  gorretti54 Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibuni sana.
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Kweli umesomea marketing, yaani hata mteja mtalajiwa akutukane....Samahani mkuu, mimi nimekulia kijijini na bado naishi kijijini, kuna mambo mengine huitaji kuwa na elimu ya juu ili kuyaelewa bali logic, instincts, and common sense.
  Hivi kwenye kutafuta pesa unadhani afya ya mtu ni jambo la kipaumbele? Njia rahisi ya kuondoa sumu mwilini sio kutumia sumu,alovera iliyolimwa kwa ajiri ya biashara na ile iliyoota kwetu Bumyengeja zina ingridients sawa? Nikienda porini nikachuma majani yangu ya alovera ni sawa na hayo unayouza ambayo lazima yawe na presertative nk... Uzungu wa kudhani kutumia packed product ndio kwenda na wakati.
   
 6. gorretti54

  gorretti54 Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndebile, bado tunarudi kulekule kwenye ignorance. Tatizo lako ni kwamba haujaelimishwa. Tatizo lingine inaonekana umejijengea ngao fulani kwa sababu zako mwenyewe ili tu usielimike na hili. Hata mimi hapa nina mmea wa aloe vera na nilikuwa ninautumia mara mojamoja kwa kutengeneza juice kwa kutoa ile gel ya ndani na kuichanganya na matunda mengine. Lakini ndugu yangu ,unajua unatumia aloe vera ya aina gani? Kuna zaidi ya aina 200 za aloevera . Na ni moja tu inayosimama juu ya aina zote kwa kuwa na virutubisho vingi nayo ni Aloe vera barbadensis ambayo ndiyo inatumika kutengeneza bidhaa za Forever Living. Jinsi inavyopandwa na kuvunwa kwenye maelfu ya ekari yanayomilikiwa na Forever Living ni somo jengine linalohitaji muda wake.

  Sijakuelewa unaposema mambo mengine kuyaelewa unahitaji logic,instincts na common sense. Lakini inawezekena hizi zikawa ndiyo ngao zako zizokukataza kufungua fikra zako ziwe huru ili uweze kuelewa habari hii njema.
  Kwako wewe afya ya mtu inaweza ikawa siyo kipaumbele katika kutafuta pesa lakini kila biashara ina misingi yake. Hili ni somo refu. Kuhusu network marketing/multi level marketing msingi wake mkubwa ni kutumia bidhaa na kushirikisha watu. Labda mimi nimetumia bidhaa ya meno baada ya kuwa na matatizo ya mafizi kutoa damu na kutoa harufu mbaya. Kama dawa hiyo itanisaidia ni jambo la kawaida kumuambia mwenzagu/jamaa/rafiki kuhusu dawa hiyo. Hizi ni products zilizizofanyiwa utafiti na kutengenezwa kwa kutumia teknologia ya kisasa kabisa. Nina uhakia 100% ukitumia baadhi ya product hizi ni lazima utamuambia na mwenzako kutokana na ubora wake uliotukuka. Network ndiyo inavyojengwa hivyo. Tumia bidhaa mshirikishe na mwenzako , mwenzako naye atamshirikisha na mwenzake. Hii ni dondoo tu kuna mambo mazuri sana kwenye hii biashara ambayo watanzania wengi hawayajui.

  Mimi simuabudu mzungu lakini najua ni fact kwamba wenzetu wako so advanced kwenye teknologia ya mambo ya nutrition ,physiology nk
  Najua hauwezi kukataa kwamba wenzetu wameenda mbali mpaka kuweza kugundua vitu kama DNA ambavyo sasa vinatumika si tu kwenye vitu kama kupata ushahidi wa uhalifu bali pia hata kwenye jinsi ya kutibu cancer kwa kuharibu cells zake.
  Hapo chini nimekuwekea attachment, scroll mpaka chini uone bingwa gani yupo nyuma ya hiyo product inayoitwa Argi+. Kama huamini hiyo ni Nobel Prize jaribu ku google.
  Hiyo product(Argi+) ina bei lakini inanunuliwa sana hapa bongo. Watu hawasemi sana ila utawaona ni wachangamfu, wanang'aa na wana energy ya kufa mtu.
  View attachment Dr. Murad_Friday_Mainstage.ppt
   
 7. gorretti54

  gorretti54 Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibu sana.
   
Loading...