LOCATION: Mwanza
PRICE : 150,000/=
CONDITION: USED but still New(1.5 Month used)
DUAL SIM LAINI MBILI IT'S ORIGINAL
CONTACTS: 0765550340 and 0688002782
FULL MOON BEACH PARTY XPERIENCE goes down at VELISAS BEACH CLUB in Kawe(near PICOLO) this Friday, 29th June from 8pm-8AM. Its more than a beach party, more than a full moon party. Its a full moon...
Habari za kazi wakubwa natafuta CPU yenye hard disk 40B, RAM 1GB, pia nitapenda sana iwe inatumia Hard disk za SATA.mwenye nayo anipe bei nije kuichukua mara moja.
Halina hati ya serikali kuu bali lina hati ya serikali ya mitaa/kijiji. barabara inafika hadi shambani. Eneo ni tambarare, inafaa kwa ujenzi na kilimo. napatikana jumamosi na jumapili tu, kwa...
Wadau nauza FLAT TV HD READY SHARP 32 INCHES INA HDMI CONNECTIONS...INA HALI NZURI USED NIMETUMIWA NA RAFIKI YANGU TOKA JAPAN.....BEI 750,000 MAONGEZI YAPO...NIPO DAR CITYCENTRE...KAMA UPO SERIOUS...
Hali zenu wana bodi,
Naleta kwenu tangazo la kuuza eka moja ambayo
ipo kibaha kwa matias. Ni mkono wa kushoto kama
unakwenda morogoro. ni jirani na makao makuu ya chuo kikuu huria.
eneo lina hata...
Kwa mahitaji PCs,printers,scanners,cameras, cables,servers,softwares na mengineo brand new kwa bei nafuu tofauti tuandikie sales3@orange.co.tz.
:wink2:
Nina nyumba chakavu katika maeneo yafuatayo.
kinondoni shamba , kuna nyumba 3 kati ya hizo ni moja 2 ambayo gari inafika nyumba hii ni ndefu ina ukubwa wa 30m X 14m, bei yake ni 35m mazungumzo...
Wakuu,
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Changanyikeni, Savei ama Makumbusho.
Vyumba kuanzia viwili na kuendelea + Sebule + Jiko + Iwe ni self contained..
Iwe na Fence pamoja na Parking ndani...
Ninauza viwanja vifuatavyo katika eneo la kibada huko kigamboni, ni km 16 kutoka feri hapa naweka ukubwa wa kiwanja na bei yake. vyote vimepimwa na vinaonekana kwenye ramani.
2000 sqm Tsh...