Viwanja na Nyumba

Apr 4, 2012
56
3
Kama unatafuta kiwanja au unataka kununua nyumba, pia kama unauza kiwanja au nyumba popote Tanzania, tuma ujumbe wako kwenda 0718 - 617 522 au email: viwanjanyumba@gmail.com

Bei nzuri ya soko itazingatiwa. You are all welcome, thank you very much indeed.

Masharti yote ya usajili na leseni ya biashara kama 'Commission Agent' chini ya Wizara ya Biashara na Viwanda yamezingatiwa.

Haki ya muuzaji/mnunuzi imezingatiwa kwa mujibu wa sheria za biashara nchini Tanzania.

Pia kwa wale wanaopenda na wenye uwezo wa kuwekeza katika sekta ya madini tutawapa ushauri kwa gharama nafuu jinsi ya kuweza kumiliki maeneo yenye madini na taratibu za kupata 'Prospecting Licence' toka wizara ya Nishati na Madini. Karibuni sana wadau.
 
mi nahitaji kiwanja mjini tabora medium size.. Kiwe kimepimwa, Kisiwe kinajaa maji na kiwe kinafikika kwa gari.. Pesa niliyonayo ni 2m kushuka chini..
 
Tabora mjini utapata, tafadhali tuma ujumbe mfupi kwenye namba yetu ya simu hapo juu kwa mawasiliano zaidi, asante.
 
Biashara ni asubuhi na mapema, mlioko mikoani na mnahitaji viwanja au nyumba Dar es Salaam au popote nchini Tanzania, fursa sawa iko kwenu nyote. Karibuni muuze na kununua kwa bei nzuri, asanteni sana.
 
Tunajihusisha na 'landed property' ikijumuisha viwanja, nyumba, mashamba, ardhi ambayo haijaendelezwa, maeneo yenye madini yasiyomilikiwa na yenye wamiliki wanaopenda kuyauza, n.k. Just be free, 'Viwanja na Nyumba' ni kwa ajili yako. Epukana na madalali, epukana na matapeli. Uza kwa halali na nunua kwa halali, karibuni sana.
 
'Viwanja na Nyumba' itafungua website yake hivi karibuni. Kwa sasa tuendelee kuwasiliana kwa simu na email hapo juu. Asanteni sana.
 
Ninahitaji plot maeneo ya mkoa mpya wa KATAVI karibia na sehemu moja inaitwa Stalike kijiji kinachopakana na Mpimbwe kwa Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda vipi ntapata?
 
mi nahitaji kiwanja mjini tabora medium size.. Kiwe kimepimwa, Kisiwe kinajaa maji na kiwe kinafikika kwa gari.. Pesa niliyonayo ni 2m kushuka chini..

Vingekuwa vya serikali mkuu sawa lakini hivi vya udalali sijui kama utapata?
 
mkuu piga picha,utuletee humu hizo nyumba,lol nimeegundua matangazo yale yaliyokuwa na picha yaliuzwa mapema kuliko yasiyo na picha,ungekuwa unaupdate hii thread kwa picha za nyumba ulizonazo ungepata wateja au ungefungua blog...
 
Eneo linauzwa Mbezi Beach Makonde (Mbezi Juu) lina nyumba mbili, moja ilikuwa inatumika kama nursery school, kuna msingi wa nyumba kubwa ya ghorofa. Eneo lote limezungushiwa ukuta, linafaa kwa zahanati, hostel, apartments au hotel/guest house. Bei ni Tsh. 170million. Interested buyers, you're warmly welcome. Thanks.
 
Ninahitaji plot maeneo ya mkoa mpya wa KATAVI karibia na sehemu moja inaitwa Stalike kijiji kinachopakana na Mpimbwe kwa Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda vipi ntapata?

Hayo maeneo yako kwenye utafiti wa madini mkuu, ni vigumu kupata plot kwa ajili ya makazi. Karibu sana, labda tujaribu maeneo ya Mpanda mjini.
 
mkuu piga picha,utuletee humu hizo nyumba,lol nimeegundua matangazo yale yaliyokuwa na picha yaliuzwa mapema kuliko yasiyo na picha,ungekuwa unaupdate hii thread kwa picha za nyumba ulizonazo ungepata wateja au ungefungua blog...

Asante dada Neema kwa ushauri wako mzuri, 'Viwanja na Nyumba' inaandaa website yake ambayo itakuwa na picha za kutosha na wote mtaridhika na huduma yetu. Kwa sasa tuendelee kuwasiliana kwa namba yetu ya simu na email hapo juu, na pia kwa kupitia thread hii mwanana. Karibuni wote na asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
 
Kama unatafuta kiwanja au unataka kununua nyumba, pia kama unauza kiwanja au nyumba popote Tanzania, tuma ujumbe wako kwenda 0718 - 617 522 au email: viwanjanyumba@gmail.com

Bei nzuri ya soko itazingatiwa. You are all welcome, thank you very much indeed.

Masharti yote ya usajili na leseni ya biashara kama 'Commission Agent' chini ya Wizara ya Biashara na Viwanda yamezingatiwa.

Haki ya muuzaji/mnunuzi imezingatiwa kwa mujibu wa sheria za biashara nchini Tanzania.

Pia kwa wale wanaopenda na wenye uwezo wa kuwekeza katika sekta ya madini tutawapa ushauri kwa gharama nafuu jinsi ya kuweza kumiliki maeneo yenye madini na taratibu za kupata 'Prospecting Licence' toka wizara ya Nishati na Madini. Karibuni sana wadau.

Plz nahitaji quotations za viwanja kule mbeya sehemu ya Isyesye na hapa dar sehemu ya kinyerezi
 
Nataka nyumba maeneo ya sinza au mwenge.. Kununua ofcourse.. Ny budget ni not more than 100million. Thanx.
 
Plz nahitaji quotations za viwanja kule mbeya sehemu ya Isyesye na hapa dar sehemu ya kinyerezi

hayo maeneo uliyotaja yamepimwa na serikali na kuuziwa watu mbali mbali, tunafuatilia kwa walio tayari kuuza plot zao ili tukupatie quotations mapema iwezekanavyo.
 
Nina nyumba mbagala nzasa, imekamilika ujenzi ina vyumba 3 vya kulala,master room 1,sitting na dining,jiko na stoo,karo la choo limekamilika.Sehemu inafikika. Bei nzuri only 15 ml, piga no 0716 890 336
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom