Wadau,
Nahitaji Chumba (Master) iwe na Sebule maeneo yaliyotajwa hapo Juu kwa ajili ya Shemeji yenu Mtarajiwa!!!!
Maji yawe available, na pasiwe uswazi.
Shukrani!!!
Msaada natafuta battery ya Blackberry Bold 9780 ninayotumia haikai na charge muda mrefu mwenye kuwa nayo naomba tuwasiliane ili nijue bei ni shilingi ngapi pia waweza kuni PM. Asanteni
Wadau nauza nokia c7 ni mpyaaa kabisa bei ni laki3 tu (No Discount)!! number zangu ni 0656-072553 au 0782-895676 specification zake ni kama ifuatavyo:::
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G...
Containers for Sale at very Low Price.
With full documents, in a very good condition.
Price:
40ft Tsh 5.5mil
20ft Tsh 4 mil
Call: +255 712 787 939
or email me @
Email: buyanza@gmail.com
Nahitaji marine boards (50pcs) kwa ajili ya ujenzi wa nyumba. Nikipata za kukodi nitafurahi zaidi. Kwa
Liye nazo au mwenye tariffs naomba tuwasiliane kwa namba 0767123216
NYUMBA inapangishwa Kijitonyama Police Mabatini ina vyumba 4 vyenye makabati kimoja master, sebule ya kutosha, jiko lenye kabati la vyombo, choo na bafu bila kusahau paking za magari 3, Tsh...
Ofisi inapangishwa maeneo ya Namanga, Floor ya juu, Ali Hassani Mwinyi Rd! Ukubwa wa ofisi hii ni mita za mraba 200 na ina vitu vifuatavyo:
Back up Generator
Both Male and Female WC
Seperate LUKU...
Salaam,
Tumebobea kwenye fani ya kupaka heena, design za aina zote, kwa bi harusi, na sherehe za kawaida.
Tuna patikana tanga mjini.
contact. 0786 958110
Wanaohitaji Frame za Biashara K\koo Tsh 500,000/= 700,000/= 1,000,000/= Kwa mwezi na Kodi ni mwaka.
Maelezo zaidi: 0714-074040, 0767-074040, 0783-074040!!!
Item InfoRegistration Year / Month2003Odometer53,200 kmDisplacement1,000 ccSteeringRightTransmissionAutomaticFuelGasoline/PetrolModel codeDBA-KGC10-AHSAK
6,500,000 Tsh Ready to be Imported...
Kwa mtu au taasisi yoyote anayetaka kununua au kuuza nyumba katika maeneo ya jiji la Dar - Es - Salaam, tuwasiliane tunazo zaidi ya nyumba 20 za kuuza na zaidi ya 30 za kupangisha . bila kusahau...
Wadau mambo vipi Blackberry curve 8520 mpyaaa kabisa nimeiwekea Opera Mini so there is no need of Blackberry service ukitumia internet service unakatwa from your main account bei yetu ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.