Professional PLUMBER (FUNDI BOMBA)

Professional PLUMBER (FUNDI BOMBA)

Emmanuel_mtui

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
56
Reaction score
13
Kama unahitaji fundi bomba wa ukweli piga na 0754412514,ni mafundi walisomea fani hiyo na wanauzoefu wa muda mrefu, wamefanya kazi na kamuni kama RENI INTERNATIONAL, TANZANIA BUILDING WORKS,SUMA JKT na pia kazi nyingi na watu binafsi
 
Asante wakuu mimi nimeichukuwa namab yao ya simu nitawapigia siku nikishajiandaa kwa kazi yangu fulani nyumbani kwangu
BARIKIWA:israel:
 
nambari imesaviwa kwenye simu yangu.....
lazima niwapigie ,natafuta pia wataalam wa wiring(wenye skills na ushauri(ndio muhimu zaidi)).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom