Magari Magari Hayo (starlet ,Vitz.Hilux,Harrier)

Magari Magari Hayo (starlet ,Vitz.Hilux,Harrier)

networker

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
570
Reaction score
217
Magari haya yako sokoni.ili kununua au kuona tafadhali piga hizi namba 0719539431 pia kuona picha na vielelezo zaidi kuhusu magari haya tembelea blog yetu hii hapa http://www.chumicars.blogspot.com

DSC00263.JPG

Millage -98,000km
Price- 7.5 Million(maelewano yapo)


DSC00250.JPG

Millage- 78,000km
Price 7.5 million (maelewano yapo)


DSC00255.JPG

Millage- 92,000km
Price-7.5 million (maelewano Yapo)


DSC00248.JPG

Millage-89,000km
Price-25million(maelewano yapo)


DSC00244.JPG

Millage-158,000 km
Price-35 Million(maelewano yapo)
 
[QUOMTE=networker;3708776]
DSC00263.JPG

Millage -98,000km
Price- 7.5 Million(maelewano yapo)


DSC00250.JPG

Millage- 78,000km
Price 7.5 million (maelewano yapo)


DSC00255.JPG

Millage- 92,000km
Price-7.5 million (maelewano Yapo)


DSC00248.JPG

Millage-89,000km
Price-25million(maelewano yapo)


DSC00244.JPG

Millage-158,000 km
Price-35 Million(maelewano yapo)[/QUOTE]
 
Asante mkuu. Kwa mwonekano magari yako bado yako bomba. Ebu nipatie particulars za Harrier kama vile transmission (automatic au mannual), fourwheel au 2wheel drive na pia ni ya mwaka gani
 
0714547566 mimi nauza klugger ina km48000 nataka 20 namba mpya matairi mapya pia kuna Voxy mil 15 imesimama
 
Asante mkuu. Kwa mwonekano magari yako bado yako bomba. Ebu nipatie particulars za Harrier kama vile transmission (automatic au mannual), fourwheel au 2wheel drive na pia ni ya mwaka gani

kaka maelezo zaidi ya harrier hizi hapa

color- Metallic Dark Gold
CC- 1998
Reg-BYA
millage- 89,000km
Model- 5s
Transmission- Automatic
year- 2002
 
Subaru Forester Turbo 4WD Vipi - bei gani?

Suzuki Grand Vitara

Used cars please
 
Hiyo Hilux unyouza 35M ni nya mwaka gani?!!1....!!!!!!
 
Hiyo Hilux unyouza 35M ni nya mwaka gani?!!1....!!!!!!


PHP:

Amoeba details za pick up

color-Metalic Green
cc- 2948
Millage-b 158,000km
MOdel- 5l
year- 1998
Transmission -Manual
condition Excellent
 
get cheap cars from us orders us find you a car.just call the number above or go to our page
Magari
 
napenda vitz tafadhali tuongee bei kama inashuka, halafu mpo wapi? mi nipo dar please nataka vitz au starlet 0712 964193
 
Kaka kuna subaru mill 14 pia nataka grand ya mwaka gani

Ni ya mwaka gani? Mileage ni kms?

Mimi naona ni ghali sana. Najua bei zake ni Million 7 mpaka 10 million. Think again

Je ina namba plate za Tz? Imelipiwa kodi tayari? Yaani ni buy and drive away?
 
Naweza kupata toyota celica 2001-2?na ni bei gano?

ntaitafuta nkipata ndio ntajua bei yake . will pm you nkipata .pia kuna carina Ti inauuzwa mill 10 hadi 9.8 ni mpya namanisha haiaja tumika sana like 44,000km kama itakufa chek me 0719539431
 
najiuliza ni kwa nini pick up hilux ni ghali sana? hata kma imeenda km 200,000 utakuta mil 25,000,000/ naomba mtaalamu tafadhali usikute tunaikimbia kumbe ndo gari ya kununua!
 
najiuliza ni kwa nini pick up hilux ni ghali sana? hata kma imeenda km 200,000 utakuta mil 25,000,000/ naomba mtaalamu tafadhali usikute tunaikimbia kumbe ndo gari ya kununua!
hizi gari ni bora sana na imara ,ukinunua usitegeme kwenda gereji karibuni hilux nyingi zime tengenezwa kuvumilia shida .pickup hilux ni gari imara sana consuption ya mafuta ni fair alafu mzigo unao piga ni wa ukweli .ni magari mazuri sana kwa familia kazi hata kutembelea. mtu akiuza hizi gari hauzi shida au tama no .ndio soko lake lilivyo. mfano: Noah watu wengi walikuwa wanauzia tama ya pesa saiv noah hazina soko kama zamani .kwa sababu watu wengi walikuwa wakitumia kubebea abiria .lakini saiv serekali wame piga stop .kisa hazina ubora na sio imara
 
Back
Top Bottom