Offer: Dewan Cement from Pakistan available for sale in Dar es Salaam at cheap price | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Offer: Dewan Cement from Pakistan available for sale in Dar es Salaam at cheap price

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jaybond, May 10, 2012.

 1. j

  jaybond Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am selling grade one Dewan Cement from Pakistan at Tshs. 13,500 ex warehouse Dar es Salaam.

  Ni cement nzuri sana. Wahi mapema ujipatie.

  Piga namba 0763840303 kwa maelezo zaidi.
   
 2. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  All the way from Pakistan @ only Tshs. 13,500/= kwa hiyo Pakistani kwenyewe cement hiyo inauzwa chini ya Tshs.3,000/=?

  kumbe inawezekana kwa cement yetu kuuzwa Tshs. 5,000/=, hasa ile ya Wazo maana wao sasa wanatumia Gas badala ya mafuta machafu kuendesha vinu vyao?
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,921
  Trophy Points: 280
  siamini kama hii cement itakuwa imara. kama inauzwa bei chee hivo, umesafirisha toka pakistan, utuuzie kwa bei hiyo....wao kule wanapata faida gani, nisijejengea nyumba yangu sasaivi ianze kuchanika hata mwaka haujaisha....lazima tuwe makini na hivi vitu vya burebure....utanisamehe kama nimeharibu biashara yako aisee. hata hivyo, cha nyumbani ni bora,...bora ninunue tanga cembent, mbeya cement au hata iyo ya wazo.....niliungishe taifa langu.
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuna Cement ya Pakistani niliiuziwa kwa elfu 15 kwa mfuko wa 50 kg baada ya ile ya wazo kuadimika. Sikumbuki brand yake, kama ndo hii basi ni nzuri tu na haina tatizo.
   
 5. j

  jaybond Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuhakikishia ubora, jaribu kuuliza watu walioitumia kwa ushuhuda
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Grade 32?
   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  mikoani itafika kwa kiasi gani au unadeal na dar peke yake ?
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hahahaaah matapeli wa PAKISTANI HAO kuweni nao macho wamesaga udongo wanawambia cement.
   
 9. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Pakistan wamespecilize sana kwenye utengenezaji wa cement na cement yao ni ya hali ya juu sana,kwa waliowahi kuzitumia wanajua ubora wake.
  Muuzaji kwa wa mikoani unatoa discount ya kiasi gani?
   
 10. j

  jaybond Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upo mkoa gani? ukihitaji tunakusafirishia kwa bei nzuri
   
 11. j

  jaybond Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Discount ipo kwa mnunuzi anayechukua kiasi kikubwa
   
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  jaybond
  Kwa mikoani minimum order quantity ni ngapi please nipe bei ya Mwanza na Arusha kuna ujenzi unataka kufanyika huko. Thanks
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  cement hiyo ni nzuri sana,tofali inatoa mpaka 70 wakati ya wazo 40 ni opc42
   
 14. j

  jaybond Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipigie number 0763840303
   
 15. RR

  RR JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  OPC42 Mkuu?? Are sure??
  BTW BONGOLALA = jaybond ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  jaybond
  Mkuu mwaga mchele mwingi kwenye kuku wengi.., elezea hapa utasaidia wengi na kupata wateja wengi zaidi je kufika mikoani unaweza ukafikisha kwa price ya chini ya elfu ishirini au chini ya elfu kumi na saba.. ?, which means itakuwa cheaper kununua kwako kuliko kununua huku huku mikoani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. j

  jaybond Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea na mkoa uliopo, freight charges zinatofautiana. For Arusha, Songea unaweza kufikishiwa kwa bei chini ya elfu kumi na saba, na kwa Mwanza, Kigoma bei itakuwa chini ya elfu ishirini.
   
Loading...