CLINICAL OFFICER (CO) au ASSISTANT MEDICAL OFFICER (AMO) ANATAFUTWA KWA AJILI YA KAZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CLINICAL OFFICER (CO) au ASSISTANT MEDICAL OFFICER (AMO) ANATAFUTWA KWA AJILI YA KAZI

Discussion in 'Matangazo madogo' started by CHE GUEVARA-II, May 11, 2012.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika makampuni au viwanda, mfano construction companies, manufacturing companies, mining companies n.k.

  Mwenye sifa ani-pm.
   
 2. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Toa detail, mfano compani gani linahitaji, kituo cha kazi wapi, mshahara unarange ngapi?????
   
 3. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  I am the one who is responsible for selecting the best candidate and I am in charge of the service that is going to be provided by the CO or AMO, kwa hiyo siwezi ku-recommend rejects zije zifanye kazi ninayo-oversee au ninayo-supervise.

  Anayetaka awasiliane na mimi either kwa kuni-pm au call +255 763 718328.

  Kwa sababu natakiwa nikuulize maswali kwanza kabla ya kuku-recommend. Kama mtu anaitamani kazi na wakati huo huo hataki kuni-pm au kuni-call aache, wala asijisumbue kwa sababu inamaanisha hataki kazi!
   
 4. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  mtu unatafuta employee kwa siku?

  Kama upo responsible kwenye be fair kwa kuweka open procedure ya application, vinginevyo nina hofia kama unaweza timiza lengo la kupata best applicant/employee.
   
 5. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ambaye hataki kufuata nilichosema aache!
  Watanzania watu wa ajabu sana, kitu hata hujakijua unaanza kuwazia negatives kuhusu unachoambiwa.
  Tunashindwa kuendelea kwa sababu huwa hatuna courage (uthubutu) - huwa tunaogopa kujitoa mhanga bila kujua kwamba "THE SUN ALWAYS SHINES FIRST TO THOSE WHO STOOD UP FIRST BEFORE IT SHINES TO THOSE WHO KNEEL UNDER THEM". Baadaye unakuta mtu anasema "NINGEJUA!" Ungejua?!

  Unakuta mtu analipwa laki mbili anaambiwa kuna kazi (ambayo labda kama akiwa na uthubutu wa kuifuatilia anaweza kujikuta analipwa laki sita kwa mwezi) na labda kazi yenyewe haina pressure halafu eti mtu anaogopa.

  Mungu tusaidie waTanzania, woga wetu nd'o umasikini wetu!
   
 6. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  acha ujinga wako wewe!!!
  wewe weka tangazo lenye full information kuhusu hiyo kazi unayotaka kutangaza,
  uone kama watu hawajaomba.
  Hayo unayotuletea hapa ni mambo ya kijijini kwenu! nahis wewe km ni ME ndo mnaoomba rushwa ya ngono ili mtoe ajira, tena ajira zenyewe feki.
  huna lolote!!!!!!!!! mi nahitaji kazi lakin siku-pm
   
 7. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Asante kwa matusi!
  "DO NOT RAGUE WITH A FOOL, PEOPLE MAY NOT RECOGNISE THE DIFFERENCE"

  Kwa taarifa yako hii kazi aki-apply mwanamke uwezekano wa kupata ni mdogo au haupo kabisa (japo sheria zinasema lazima kuwe na equal opportunity ktk employment) - this is just to prove you wrong.

  Wenye akili watafanya kama nilivyoshauri, wajinga wataendelea kumwaga pumba hapa.

  Umenifanya nishiriki katika kuongea vitu ambavyo havinisaidii lolote!
   
Loading...