Grp tanks zenye uwezo wa kuanzia lita 10,000 - 3,000,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Grp tanks zenye uwezo wa kuanzia lita 10,000 - 3,000,000

Discussion in 'Matangazo madogo' started by raymond1977, May 11, 2012.

 1. r

  raymond1977 New Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunauza na kufunga GRP tanks zinapatikana katika ujazo tofauti kuanzia lita 10,000 mpaka lita 2,000,000 na unaweza kupata zaidi ya hapo kwa kutoa order mapema.
  Hizi tanki ni imara na hazishiki kutu, radha ya maji yako inabaki kuwa ileile bila kuchange, zinachukua muda mfupi kuzifunga kuanzia wiki 4 - 6, unaweza kuongeza capacity yake baadae, bei yake ni rahisi ukilinganisha na aina nyingine ya tanks, zinafaa kutumika kwenye viwanda, hospitalini, mashuleni, halmashauri.
  Ukizihitaji tunapatikana kwenye namba hii 0756668565 kwa maelezo zaidi
   

  Attached Files:

 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  GRP-Glass Reinforced Plastic

  Mkuu Raymond ... please toa dodoso la bei in cubic meter capacity or per liter capacity .... what is the cost advantage compared to concrete and poly tanks (upvc)

  je mnapatikana mikoa gani haswa?

  je matanki haya yanafaa kwa horticultural irrigation ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. r

  raymond1977 New Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ahsante sana kwa maswali yako, kwa kuanzia kirefu cha GRP ni Grass Reinforced Polyster ambayo ni sawa na unayosema wewe Grass Reinforced plastic.
  Kuhusu bei zipo baadhi inategemea na ujazo unaotaka ila tuko tunaandaa zaidi kwa ajili ya kuzitoa katika matangazo yetu sababu ni kwamba hizi tanks tunaleta katika container halafu tunafanya installation kwa hiyo kuna gharama ambazo mteja anaweza kuwa hazihitaji na ikaonekana kuwa tuko expensive ila ni vizuri ukanitumia size unayohitaji halafu nitakuandalia gharama zake na wewe kama unaona zipo ambazo huzihitaji tunazipunguza kwani baadhi ya wateja wetu wanfanya installation wenyewe.
  swali la pili, sisi tunapatikana nchi nzima na hata africa mashariki yote tunakwenda.

  swali la tatu, hizi tanks zinafaa kwa matumizi yote wa kilimo (horticultural irrigation) na matumizi ya nyumbani kwani maji yake ni salama.
  Vile vile tunazo na tank za steel kama unahitaji.
  Kama una swali zaidi usisite kuniuliza na unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba hiyo niliyoweka juu (0756668565)
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  raymond1977 thanks for your clear answers... kwa faida ya biashara yenu yaani marketing hebu weka hapa jamvini a simple calculation ya price build up ya tank la let say 10,000 liters

  hii itasaidia kupata maswali na pia kuweza kuonyesha uhalisia zaidi ... then from there kila mtu atakuja na hitaji lake

  pia je hizi GRP tanks haziwi kuwa affected na weather eg. direct sun heat, ocean salts or rains

  please clarify
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...