Fundi (engineer ) wa inverter

Fundi (engineer ) wa inverter

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,066
Reaction score
1,146
WanaJF

Je kuna yeyote anayemjua Fundi Bingwa wa Inverters ?
Msaada unahitajika tafadhali.
 
Rekebisha title mkuu! Nimejisikia kudhalilishwa, anyway! watafute mafundi mchundo nasiyo Engineer kabisa. Labda, nianze na swali, Unamtakia nini fundi wa AC/AC or DC/AC Inverter?
 
rekebisha title mkuu! Nimejisikia kudhalilishwa, anyway! Watafute mafundi mchundo nasiyo engineer kabisa. Labda, nianze na swali, unamtakia nini fundi wa ac/ac or dc/ac inverter?

pole!

Dc/ac inverter
 
Inverter ya nini? Solar panel au AC au CCTV camera...the list goes on. But kuna watu wazuri wa mambo ya umeme kama wakijua exactly nini unachokihitaji
 
Back
Top Bottom