kutokana na watu kuwa na ufinyu wa mawazo kwa kutamani kusoma nchi ya nje lkn wanajiwekea kuwa lazima kutakuwa na mazingira magumu sasa nakutoa uoga huo.
yeyote anayetaka kusoma ulaya kwa level ya...
Hello team,I hope this message will find you with good health,JDM Success.com is looking for business partners who will be interested in Health&Beauty Products,IT Accessories,Apple...
Nyumba ina vyumba vitatu na sitting & dinning room ina tyres,
pia kwa nyuma yake kuna nyumba ndogo ya vyumba vitatu,
na ina frem moja ya biashara,
una umeme na maji tayari,
Plot yake imepimwa...
Salaam wakuu,
Nauza Amazon Kindle (Kindle 3, Kindle Keyboard) kwa laki 3 tu!!..iko na LED smart cover nyeusi (kama inavyoonekana kwenye picha)....free 3g connection popote! Ina vitabu 1460 (elfu...
habari zenu? nahitaji sana blackberry curve ila budget yangu ni 100usd kama kuna mtu yoyote anaeuza namba sana ani inbox naihitaji kabla j`tatu..naombeni jamni
1.Plot for sale,it is located atTemeke Tandika, mindu street on the main road; price tsh 150 milions
2.Plot for sale,it is located atTemeke Tandika, sambwisi street; price tsh 100 milions...
Wadau nahitaji kununua scania tractor lenye gvm ya 44ton. Nimejaribu kupita mitandaoni nimevutiwa na makampuni mengi ila wasiwasi wangu ni uaminifu. Naomba kwa mdau yoyote ambaye ana uzoefu wa...
kwa yeyoye anayejua duka linalouza
viumbe mbali mbali wanaotumika kwenye
mitihani ya biology practical kama vyura
n.k kwa dar hapa naomba anijulishe.
Nahitaji kwa haraka.