Shamba, ekari 30 - Bagamoyo

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Lipo katika kijiji cha Makurunge kila ekari 1.2m, ukitaka kipande inawezekana. Hakuna hati, ni barua za vijiji zinatumika. PM kama unahitaji.
 
Mbona bei kubwa sana mzee? hapo mahala panastawi mazao gani?

Maana Bagamoyo napo sehemu nyingi zinachagua sana mazao ya kupanda.
 
Makurunge iko wapi Bagamoyo? Ni umbali gani toka Bagamoyo mjini, na ni kuelekea barabara ipi (Bagamoyo - Msata, Bagamoyo - Dar, Bagamoyo - Mlandizi, Bagamoyo - Saadani)?
 
Ni kama kilomita 10 toka Bagamoyo mjini njia ya kuelekea Msata, actually ni kubwa sana (kama ekari 100) ila mwenyewe alipenda kuuza kipande hicho. hapajalimwa mazao yoyote kwa sasa lakini kuna mto unapita si mbali na lilipo shamba. Mimi sio dalali. Nakupa namba ya mwenyewe ili ufanye nae mawasiliano kwa sababu hayuko JF wala hana idea nini kinaendelea huku. Unaweza kumwambia namba yake uliipata kutoka kwa dokta (hapo bagamoyo) ili kama atakumbuka anijalie bakshish endapo biashara itafanyika.

Namba 0716646304
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom