Nyumba ya kupanga dar-es-salaam inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga dar-es-salaam inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bwegebwege, Aug 3, 2012.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wanajamvi habari za leo!
  Jamaa yangu anatafuta nyumb/Apartment ya kupnga jijini Dar-es-Salaam, kama kuna mtu Mwenye nyumba, au anayefahamu mtu anayepangisha nyumba yake basi tuwasiliane! Tangazo hili ni marudio, nafanya hivyo kuweka wazi vigezo muhimu vinayozingatiwa.


  MAENEO
  1) Kawe
  2) Mikocheni
  3) Kijitonyama
  4) Kinondoni (hasa Ada Estate)
  5) Mbezi Beach
  6) Maeneo ya Afikana
  7) Maeneo ya Tangi bovu
  8) Sinza (kuelekea Mlimani City, Mori, Mapambano etc)
  9) Mwenge
  10) Maeneo ya Survey

  BUDEGET: (Malipo kwa pesa za kitanzania, siyo dola au fedha yoyote ya kigeni)
  1) Kati ya Tsh. 450,000/= hadi 600,000/=
  2) Mahitaji ya mpangaji ni kuwekeana mkataba wa kulipa kila baada ya miezi sita; kama kuna conditions tofauti Mwenye nyumba atajulisha)
  HALI YA NYUMBA
  Nyumba iwe katika hali nzuri ambayo mpangaji ataingia moja kwa moja bila kulazimika kuanza kufanya ukarabati etc
  1) Vyumba 3-4 (pamoja na MBR)
  2) Jiko
  3) Sehemu ya kulia chakula (Dining Room/area)
  4) Sebule yenye nafasi (Sitting Room)
  5) Stoo kwa ajili ya kuhifadhia vitu ndani
  6) Iwe ndani ya uzio (fence) na geti la kujitegemea
  7) Maji: Kuwepo na maji ya uhakika (ikiwezekana reserve tank)
  8) Umeme: Uwepo wa uhakika, preferably kuwe na LUKU
  9) Sehemu ya ndani ya uzio: Nyumba iwe na sehemu kubwa ya kutosha pamoja na eneo la kutosha kupaki magari kati ya mawili n akuendelea…


  MAWASILIANO MADALALI/WENYE NYUMBA
  Kama wewe ni dalali wasiliana name kwa kunitumia PM hapa, ili kuepuka usumbufu kwako na kwa “potential tenant” hakikisha tunawasiliana kama kweli unao uhakika kuwa vigezo hivyo vimekamilika. Suala la bei ni maelewano, inawezekana kusikilizana na kujadiliana kulingana na nyumba na eneo husika ili kufikia makubaliano. Asanteni
   
 2. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ALhamdullah, imepatikana.................
   
Loading...