Tangazo la airtel doesn't make sense

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
airtelmoney.jpg
Eti nyie airtel hebu nielewesheni, kwenye hili tangazo lenu mmeweka hela halafu imekatwa, halafu mmeandika hauchajiwi ndio kusema kwamba hamkati hela sasa mbona tangazo lenu wenyewe ndio linaonyesha hela imekatwa?

rbs_banner.php
 
matangazo ya promotion ya makampun ya sim yote yana walakin,
voda wanasema kwa 250 unapiga sim unatumia internet na kutuma text bure, simply by dialling *102*250#
 
matangazo ya promotion ya makampun ya sim yote yana walakin,
voda wanasema kwa 250 unapiga sim unatumia internet na kutuma text bure, simply by dialling *102*250#

halafu sijawahi kusikia watu wao wa marketing wakitoa ufafanuzi popote wakati malalamiko wanayasikia.
 
Nakumbukia nunua Moderm kwa elfu 30 upate miezi 6 bure....Wadanganyika kwa kuibiwa bhana.....


Mwenyewe nilinunua hiyo modem mbona nilikoma, salio likiisha inakata, nilipowauliza wakaleta story nyingi ambazo hata sikuzielewa... hii ni kuashiria kwamba hawana mbinu za marketing zaidi ya kudanganya watu, na kwa jinsi tunavyopenda vya bure basi wanatupata kwelikweli... lakini ni aibu kusema kweli.
 
Hili tangazo huwa linaniharibia sana siku yangu. Silipendi, silipendi, silipendi. Kwa kifupi nadhani airtel si wabunifu wa matangazo kama zantel. Kitu zantel bana ah 'fungua njia kitoto chaanza tambaaaaaaa'
 
Back
Top Bottom