Hawa ndio cheapest web-designers

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Office zetu zipo Mikocheni A karibu na shoppers plaza,tunajulikana kwa jina la DISOLN.Tuna-design website safi kwa matumiz ya biashara,binafs au kampun.Bei zetu zinanzia sh. 200,000 hadi 400,000(bei inavary kutegemea na contents/complications za site yako).

Pia tunadesign Graphics,logos,banners,blogs kwa bei nafuu sana.Tunafanya pia kazi hizo kwa ofice nyingine kwa tender(hapa bei inapungua zaid).
Shughuli nyingine tunazofanya ni Networking,Computer maintenance n' Repair.In short all IT activities,WELCOME ALL...

*Kazi zetu utazifurahia coz tuna experience ya kutosha kwenye hivi vitu*

kwa maelezo zaidi tupigie kwa 0717995793/0752507004
 
Are you guyz offer hosting as well? If so what's your prices?

hosting hatufanyi ila kuna watu tuna connection nao,wanafanya hosting kwa bei poa sana.Huwa tunawaconnect clients wetu huko kama wakihitaji
 
fantastic. Tafadhali tuwekee link ya sample works. Deals guaranteed upon satisfaction.

Haina tabu mkuu ntaweka soon ngoja nile twisheni kidogo jinsi ya kuweka link hapa JF coz naona kama inanipa tabu hivi
 
hosting hatufanyi ila kuna watu tuna connection nao,wanafanya hosting kwa bei poa sana.Huwa tunawaconnect clients wetu huko kama wakihitaji

tunaweza fanya serious business as a team. Nina hosting plans za bei ya chini sana naweza kukupa kama reseller na uka make profit pia

Natoa ftp access, free domain, mysql database na unlimited email accounts. Ni PM au nipe namba yenu tuongee details

Regardless prices zilizo kwenye website, nitakupa lowest prices as a partner
www.primax.co.tz
 
tuwekeeni website ya mteja wenu japo moja, hiyo yenu ya webs mtu yeyote mzoefu wa computer anaweza tengeneza
 
Back
Top Bottom