Msaada tafadhari.

Msaada tafadhari.

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
187
Reaction score
28
Wadau anaejua duka la fanicha za shule kama vile viti vya plastic nzito na miguu ya chuma na desks zenye miguu ya chuma pia kwa hapa Dar wanakouza bei ya rejareja.
 
Upo wapi? Kama upo dar nenda pale manzese argentina, huwa naona viti vya shule na meza zinazosubiri wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom