Sifa zake, kiko tegeta, kimepimwa na kina docoment zote,ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni mil 14 maelewano...
Habari wana jf. Nilikua nauliza wapi wanapoweka sticker za gari ambazo zinacover gari zima. Kuna magari yapo yana black color ambayo haing'ai. Au kama ni rangi basi naomba kujuzwa ni wapi huduma...
Shamba lenye ukubwa wa heka 3 linauzwa kwa bei ya maelewano.Shamba lipo mwanza maeneo ya usagara mizani na lipo karibu na barabara.Pia ukitaka ununue nusu ya shamba hakuna tatizo.Shamba lipo...
Mahali/Location: Kitopeni, Bagamoyo. Mita 800 kutoka barabara ya lami itokayo Dar (kilomita moja kuingia mjini Bagamoyo na kilomita 5 kutoka Kiromo View Resort kuelekea Bagamoyo - planned...
KIWANJA KINAUZWA,BAHARI BEACH MITA 300 TOKA BAHARINI. KINA UKUBWA WA 5354sqm, BEI NI MILLION 800(NEGOTIABLE).
KINA HATI NA NYARAKA ZOTE MUHIMU.
KWA MAWASILIANO ZAIDI - 0715852295
Nauza kiwanja changu.
Wapi?Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho.
Ukubwa? mita 28 kwa 26
Bei? milioni 15
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Barabara ipo mpaka kiwanjani
. Ni sehemu...
habari,router ya zyxel inauzwa bei nafuu 85 000 tu,ina port mbili za ethernet na unaweza kukonect na intanet kwa modem au waya kutoka kwa isp,ina vifaa vyote+user manual,imetumika kidogo.nzuri kwa...
Shule hii ina ukubwa wa eneo la heka 15. imesajiriwa na ina vibali vyote muhimu ipo kisarawe mkoani Pwani . kushoto inapakana na kanisa la kirutheri(mission) na kulia inapakana na chuo cha...
Ndugu wana JF, nyumba inapangishwa maeneo ya survei, ina vyumba viwili sehemu ya jiko , self contained pamoja na sebule, gari linafika mpka barazani kwako. hakuna dalali ukinipata mie...
I need the two phone as mentioned above. They should also not be with scratches and I would prefer if I shall get with all fundamental accessories. Price should come from the trader. My #...