Natafuta Gari

Natafuta Gari

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Natafuta gari kwa yeyote anayo GX100 or premio. please i am serious need
 
niPM nikupe namba ya mtu muwasiliane mojakwamoja bila dalali
 
Mbona unatumia Jamii kwa mambo yasiyo ya maana, vipi wewe, mi nimesema natafuta gari, we mkimbizi nini tz hujui kiswahili, kama uko low profille nenda facebook
 
ngapi mkuu, naomba i we serious
 
yes naomba kwa private massage
 
Mbona unatumia Jamii kwa mambo yasiyo ya maana, vipi wewe, mi nimesema natafuta gari, we mkimbizi nini tz hujui kiswahili, kama uko low profille nenda facebook
Kiswahili ulichotumia wewe ndio kibovuna unaonekana hujui kiswahili zaidi ya uhuni tu unaleta ungeenda facebook wewe ndio panakufaa Ndugu Punda... Kuna watu wanaweka matangazo yao vizuri na yanaeleweka....

Wengine tuna magari ya aina hiyo sasa umesema unayatafuta!
na mimi nimekuuliza for what? kuwa mstaarabu.. Ficha upumbavu
 
Toyota Corrola X available
Call: 0755 842 986
 
nina toyota carina TI,rangi ya silver mpaya ipo njiani kutoka japan inafika bandarini tarehe 25/8
bei ni mil11 nimepata emergency nikatumia hela ya kutoa so if you need it welcome.you may also pm me
 
download
 
Pia ninayo CRESTA GX 100,EXCEED.Kama uko tayari kwa 9m nakuachia,piga 0765829257
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom