Shule inauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Shule hii ina ukubwa wa eneo la heka 15. imesajiriwa na ina vibali vyote muhimu ipo kisarawe mkoani Pwani . kushoto inapakana na kanisa la kirutheri(mission) na kulia inapakana na chuo cha maendeleo . tangu imesajiriwa haijawahi kufanya udahili wowote. eneo limejengwa madarasa 2 ambayo bado hayajakamilika yapo kwenye linter na nyumba ya mlinzi 1 ambayo imekamilika na anaishi hapo. mnunuzi ataiendeleza hapo ilipo ishia hata lipa kibari chochote vibari vyote vimelipiwa kwa ajiri ya shule ( msingi au sekondari , mpaka A . lever) inauzwa sh 75,000,000 kwa mawasiliano 0657 145555. 0686 200 117 Akiri au 0655 278 278 0787 278 278 Adili.
 
What if nikitaka kubadilisha matumizi ya eneo nikaweka mifugo yangu kama kiti moto mbuzi na mbwa?
 
What if nikitaka kubadilisha matumizi ya eneo nikaweka mifugo yangu kama kiti moto mbuzi na mbwa?
itakuwa vizuri tu mkuu, unaweza badilisha matumizi badala ya kufundisha binadamu ukawafundisha hao kiti moto, mbuzi na mbwa na darasa lingine ukafuga paka. itakuwa safi
 
shule imesajiriwa kwa jina la Tageti high School
 
Haya sasa kwa Wenzetu wale Shule hiyo hapo mshindwe wenyewe.... Changia TV na Changia kununua Shule pia...

Wakishindwa Mkuu Nakushauri Nenda kaongee na Parokia yoyote hapo uone watafanyaje!! Inawezekana ukapitishwa mchango Fasta shule ikawa chini ya Kanisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom