Kofia hii inahitajika haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kofia hii inahitajika haraka.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by EJay, Aug 30, 2012.

 1. E

  EJay JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna hii kofia anayovaa MHE.NIMROD MKONO,Mb.wa Musoma Vijijini na Mwanasheria Nguli nchini nitaipata wapi?na bei gani wadau I am serious wakuu.
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Hizo kofia za tarabushi ziko nyingi tu sokoni manzese kwa mfuga mbwa!!
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,543
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  kaka unataka uwe katikiro a.k.a mnyanpara,nakumbuka hizo kofia walikuwa wanavaa,wale viongozi wa kiafrika,natives enzi hizo za mkoloni ambao walikuwa wameajiriwa kama makarani,matarishi,n.k,walikuwa wanavaa pamoja na magwanda ya kaki na kaptula za kaki na soksi(patesi)bila viatu.nakumbuka baba yangu mkubwa alikuwa anamechisha hivyo viwalo,pia alikuwa anavaa helment kofia kama zile wanazovaa Ma DC na Ma PC wa Kenya
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mdomo nyumba ya maneno
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Nenda maduka yaliopo karibu msikiti wa Mtoro, mtaa wa Mahiwa Dar., zipo nyingi tu.
   
 6. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unataka kofia anayovaa Mh, au inayofanana na hiyo????? Kama unataka kofia hiyo hiyo, je! mganga wako kakwambia ni dili?????? Tafadhali tujuze kama ni dili, ili tuichangamkie.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,330
  Likes Received: 3,589
  Trophy Points: 280
  Hiyo hata Mzee Small anayo, mtafute akuelekeze!!
   
Loading...