Nyumba ina pangishwa maeneo ya suvei dakika 8 toka mlimani city

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Ndugu wana JF, nyumba inapangishwa maeneo ya survei, ina vyumba viwili sehemu ya jiko , self contained pamoja na sebule, gari linafika mpka barazani kwako. hakuna dalali ukinipata mie tunaandikiana mkataba unanipa wiki moja nafanya marekibisho kdgo kama kupaka rangi etc. ni shiingi laki mbili na nusu na utalipa kwa miezi sita au mwaka kadri upendavyo. anayeitaji anipigie simu 0774187012.
 
Maji sasa msimu wamvua,yanajaa sana maeneo haya!!Sihapo nyuma ya Kalabashi?Eneo hili linatisha!Unaweza kukuta vitu vinaelea au ukalazimika kulalia mtumbwi msimu wamvua!!Tutoe hofu kwahili mkuu.
 
hiyo sehemu ni nzuri, haina desturi ya kuwa na maji. ni maeneo ya DDC na Etina Bar Retaurent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom