Jamani naomba mnijuze wapi naweza pata madirisha ya alminium kwa bei nafuu
Madirisha yapo kumi na tatu yana ukubwa wa 5 kwa 6 feet, na 2 kwa3 yapo manne
Wadau mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenye nauza nyumba yangu ambayo iko kwenye stage ya kupauliwa ukubwa wa kiwanja ni 20X34 iko juu mlimani kidogo bei inaanzia 24.5mil
unaweza nipigia 0754432409
Kiwanja kikubwa chenye ukubwa wa sqm 656 kipo buyuni, kimepimwa na kina hati ya miaka 99, pia ada zake zote zimelipiwa. Kimezungukwa na nyumba mpya za shirika la PSPF. Ni kizuri sana kipo jirani...
Residential room wanted(furnished or unfurnished)
vigezo vyangu
umeme wa LUKU
pawe karibu na mjini
maji ya uhakika
Rent will always be paid on time.
kuhusu mimi
friendly
ni mfanyakazi
single...
Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) na aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa...
Nimetumwa kutangazia mtu nyumba yake ipo KINYEREZI
Vipimo ni Urefu wa Meter 21
Na upana Meter 11
Bei ni TShs. 15 Milion
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala, baraza au sitting room na choo kimoja...
Tangaza Marketing Solutions(TMS):
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions:
Lengo kuu ni kuwasaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kujua Wateja wao na Wateja kujua huduma...
Scania 94 hp 260
Year of manufacture : 2004
Tone: 20
Rigid R
Axle 3, flat board fiber
Price : 55ml or 75ml
The cargo truck is in the Dar es salaam Port . if u buy in the port 55ml and without...
Ninatafuta mwalimu hasa mwenye uwezo wa kumfuata nyumbani kwangu Kumfundisha masomo ya O level binti yangu awe mzoefu tafadhali
Awasiliane nami kwa email: ak_abduel@yahoo.com
karibuni ila mtu...
nahitaji mashine yakufyatulia matofali mpy au used sawa tu ilhali iwe kwenye hali nzuri nahitaji sana,sio ya umeme.
mwenye nayo PM tu au weka na bei na ikiwwezekana picha nitafurahi sana ,nahitaj...
Sumsung Nexus
16GB
Android v.4.1.1
Colour black
Full box + Accessories
Used for only 3 month , Price Tsh . 680,000/=
Contact person Akili 0657 145555 & 0755 099 291