Nyumba ya kupanga karibu na St Joseph Sec School

Venus

Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Nyumba ya kupanga ipo karibu na St Joseph Secondary school inapangishwa (Njia ya kuelekea Goba). Ni nyumba ya vyumba vitatu na ipo kwenye fensi. Maji kwa sasa yamesimamishwa kutokana na mgongano unaondelea lakini wameahidi watayarudisha kabla ya mwisho wa mwezi. Kodi ni TZS 250,000 kwa mwezi. Mtu ambaye yupo serious awasiliane nami (Pm) kwaajili ya kuiona pamoja na picha.
 
mimi nahitaji kuiona hiyo nyumba no zangu 0754 255 734
 
Back
Top Bottom