Natafuta solar panel ukubwa wa kati.

Natafuta solar panel ukubwa wa kati.

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
1,889
Reaction score
1,127
Wadau natafuta solar panel yenye uwezo wa kati kwa ajili ya kuchajisha cm kumi+. Mwenye nayo ani PM contacts zake.
 
Wadau natafuta solar panel yenye uwezo wa kati kwa ajili ya kuchajisha cm kumi+. Mwenye nayo ani PM contacts zake.

ukisema watafuta yako imepotea ????? au imeibiwa???? na kama kununua mbona mdukani zipo nyingi2 sijui ww upo mjigani lakini KARIAKOO Dar zipo kila Model na Size sijui utafutaji wako ni upi poleee
 
Back
Top Bottom