Barraza
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 481
- 270
Nahitaji chumba na Sebule vyenye choo na bafu ndani pamoja na Jiko along Morogoro Road kuanzia Kimara mwisho mpaka Ubungo. Kisiwe mbali na barabara, wadau kwa uzoefu wenu nitaweza kupata kwa bei gani? Japo kwa taarifa tu, bajeti yangu ningependa isizidi Laki moja/Mwezi