Suzuki Escudo Inauzwa

Suzuki Escudo Inauzwa

kipira

Senior Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
142
Reaction score
56
A lady driven Suzuki Escudo 5 doors is here for sale ay a price of 7m cash. Whoever is interested can call 0789 496898.photos will follow shortly.
 
huna namba ya tigo na weka picha kabisa ,unapatikana wapi je bei inapungua vitu kibao vipo unclear
 
Hii tabia ya kupost nusunusu itaisha lini? Unaandika kama unakimbizwa, ungeweka picha tungekuona wa maana!
 
A lady driven Suzuki Escudo 5 doors is here for sale ay a price of 7m cash. Whoever is interested can call 0789 496898.photos will follow shortly.
hii huwa inamaanisha nini? ikiwa mwanaume quality inaongezeka?

nimezoea kuiona sana hasa kwenye biashara za magar used hapa bongo
 
Killometer ngapi imetembea? put clear bwana siunajua dar usafiri shida!
 
A lady driven Suzuki Escudo 5 doors is here for sale ay a price of 7m cash. Whoever is interested can call 0789 496898.photos will follow shortly.
Ungekuwa na nia ya kufanya biashara ungeweka hizo picha, vinginevyo acha usanii.
 
AHAHAHAAAA..MIE NINAYO SUZUKI A GENTLEMAN DRIVEN NAUZA...ahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaa
 
Kuna haja ya kubadilisha hii staili ya gari kuendeshwa na mwanamke, tubuni nyingine kama ilikuwa inatumiwa na mdosi.
 
Mkuu, sema huna hela wewe!
Kama wenye hela ndio wananunua mlio wa mbuzi pasipo kumuona mbuzi mwenyewe, basi ngoja waje uwapige za kichwa. Ungejifunza kwanza kutoka kwa watu wanaouza magari mitandaoni ndipo useme uliyoyasema.
 
Back
Top Bottom