Kuku wa kienyeji kwa bei nzuri

Kuku wa kienyeji kwa bei nzuri

mama kokuu

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
131
Reaction score
22
karibuni niko temeke kwa yoyote anaehitaji kuku wa kienyeji naomba anitafute namba yangu ni 0712419419
 
Jogoo bei gani?
Tetea bei gani?
 
Kwa jogoo inafatana na ukubwa lakini kwa majike kuanzia 10 unapata na kuendelea karibu sn.
 
nahitaji kuku wa nyama wengii mara kwa mara wakubwa naweza kupata?
 
Mwenge au buguruni pale sokoni kuku wazuri ni sh. elf 11 au 12. N
 
Karibu hata kwa anayehitaji vifaranga vinapatikana kwa sasa.
 
2500 mbegu niliyonayo kuna mchanganyiko kuku wa malawi,Australia,kuchi na wa kawaida KARIBU SANA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom