DILI KUBWA...Ntolee fao la NSSF upate 50 %

kwelakenya

Member
Joined
Jan 21, 2010
Posts
59
Reaction score
6
[h=5]Kwa wanaofanya kazi NSSF, i got like 2 mil. kwenye NSSF yangu. Kwa atakae weza kunitolea he/she gets 50%[/h]
 
  • Thanks
Reactions: KUN
Kwani hiyo hela ni haramu mpaka umhonge mtu wa kukutolea? Fao la kujitoa limerudishwa fuata tu utaratibu unatakiwa na utapata hela yako bila kugawa hiyo 50%.
 
kwa akili ya kawaida ni vigumu kumuelewa mtoa thread, km umewahi kufanya hizi pilika pilika za nssf hutashangaa kwa hili, NSSF pameoza!niliomba kadi mpya ya smart card ya NSSF pale ILALA (saiv wapo k.koo) kwa njia halali (bila kutoa rushwa) tangu juma tatu ya tarehe 30.01.2012 lakin mpaka leo sijaipata hii kadi na lengo langu nilitaka nikishaichukua hiyo kadi nitoe pesa yangu lakisi saiv natamani nimpe jamaa hata 50,000/= afanye fasta.
 
Duh sio chini ya miezi sita kisheria.
mkuu unatakiwa miez 6 tangu ulipoacha kazi ndo unaruhusiwa kuchukua pesa yako ktk hali ya kawaida.

huyu mtoa maada hajaweka detail km bado anaendelea na mzigo au la.

Pia tusiendekeze rrushwa kila mahali, hii itasababisha kupoteza pesa nyingi bila sababu.

Mf huyu jamaa ana mil 2, lkn anatupa 1 mill bila sababu,
 
mkuu kuchukua pesa zako haziitaji uwe na smart card,
 
Tafuta cheti cha UKIMWI halafu waambie hauna pesa za kununua chakula
 
mkuu unatakiwa miez 6 tangu ulipoacha kazi ndo unaruhusiwa kuchukua pesa yako ktk hali ya kawaida.

huyu mtoa maada hajaweka detail km bado anaendelea na mzigo au la.

Pia tusiendekeze rrushwa kila mahali, hii itasababisha kupoteza pesa nyingi bila sababu.

Mf huyu jamaa ana mil 2, lkn anatupa 1 mill bila sababu,
Mikanganyiko kila mahali sasa, unahitaji miezi sita baada ya kuacha kazi kuchukua hela yako ama unapoacha kazi ukaprocess hela yako ni ndani ya miezi sita tu unapata chako
 
Back
Top Bottom