Wadau,
Nimepata scholarship ya kwenda nje kusoma. Nitaondoka tarehe 02 December hivyo nimeamua kuweka sokoni usafiri wangu. Details zake ni:-
Nimepata scholarship ya kwenda nje kusoma. Nitaondoka tarehe 02 December hivyo nimeamua kuweka sokoni usafiri wangu. Details zake ni:-
- Toyota Rav4
- Manual Transmission
- Year of Manufacture: 1998
- Mileage: 103,000km
- Engine size: 1998cc
- Condition: Engine and chassis still intact (i.e. tangu iingizwe nchini mwaka 2005 kutoka Japan haijawahi kufunguliwa engine). Imelipiwa M/Vehicle Licence fee na Third Party Insurance premium hadi May, 2013
- Price: Negotiable