Ndugu wana jamii kwa yeyote anaye jua naomba anijuze wapi naweza pata mashine ya kufyatua block inayotumia umeme na inaweza ikipatikana kwa bei gani? Nipo Dar es Salaam
10acres land farm at kigamboni kijaka ,32 km toka ferry .bei 16m
0786149592.
50acres farm(kuna miti miembe na mikorosho )lipo kimbiji 42km toka kivukoni
bei 100m . 0786149592.
kiwanja...
Nahitaji kununua gari toka Japan. Ushauri kwa supplier mzuri (viunganishi kwenye web zao na ofisi zao zitakuwa bora zaid)
Nahitaji gari ndogo ya kutembelea ila sio Vitz, Starlet au za aina hiyo...
Wakuu nimekuja na kamzigo kadogo cha kuuza... vinguo vya watoto toka aliyezaliwa leo hadi miaka 12. Pia kuna viatu, chupi, mabrgi, maziwa, chupa za maziwa, sterilizer, vijiko na vikombe. Tuna...
wakuu nimefanikiwa kupata oven ndogo na mixer na hapa nilipo ilinifanikishe zoezi hili natafuta mashine zifuatazo ziwe used au mpya ilimradi ziwe zinauwezo mzuri wakufanya kazi. mwenye nazo...
Hostel ipo Cnza nafasi 3 zimebaki. Kodi kuanzia miezi 3. Bei elfu 45. Mandhari mazuri, very condusive. Usafi maliwatoni. Maji na umeme bure hakuna mchango wa mwezi. Chumba kimoja vitanda 4. Piga...
Ni manual imetoka UK na haijatumika hapa TZ.
Ina Insurance ya mwaka
Bei: 18M maelewano yapo
Cmu: 0717 930234
Kila kitu kinafanya kazi kama kinavyotakiwa.
Specs:
Suzuki Grand Vitara...
Nyumba mpya Kijitonyama inapangishwa. Ina bed room 2 na master 1 zote kubwa. Ina jiko kubwa pamoja ba public toilet. Pia inafikika kirahisi maeneo karibu na Kigango cha RC eneo la Contena Bar...
Kiwanja kipo Dar es salaam wilaya ya Temeke mwasonga
ni mwendo wa 33km toka feri ya kigamboni , au 15km kutoka kibada njia iendayo Dar zoo
kimepimwa na kina offer
kimetengwa kwa ajiri ya HOUSE...
nyumba ipo karibu na barabra ya lami ya tabata segerea
...ina frems za maduka kwa nje kama unavyoona
kuna eneo la packing kwa ndani
ina wapangaji kwa ndani
bei 120mil
contacts
0714812375...
NYUMBA NZURI, ipo Bunju umbali wa mita mia tatu kutoka Bagamoyo road, ina vyumba vinne na frame sita kwa mbele, bei ni sh. milioni 180. NYUMBA NZURI, ipo Tegeta stand, ina vyumba sita, maji na...
Je unajua kuwa kila msanii ni wakipekee! kama wewe ni msanii amini usiamini hakuna mtu ambae anakila ulichonacho wewe, hata kama binadamu wawili wawili basi inaweza akatokea mtu mmoja tu kati ya...
galaxy note inauzwa...Used 2 months in good condition.
Screen protector
Custom back cover
s3 operating system installed
16GB Internal Na 4GB SD Card
And charger
---Only 750,000Tsh---
...Pm or...