Natafuta mashine za kutengenezea mikate

Natafuta mashine za kutengenezea mikate

araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Posts
534
Reaction score
147
wakuu nimefanikiwa kupata oven ndogo na mixer na hapa nilipo ilinifanikishe zoezi hili natafuta mashine zifuatazo ziwe used au mpya ilimradi ziwe zinauwezo mzuri wakufanya kazi. mwenye nazo aambatanishe na bei au ni PM kwa mawasiliano!

1.Mzani wa digital
2.Prover- kwaajili ya kuumulia mikate
3.Slicer-ya kukatia mikate
4.moulder-kukatia madonge ya mikate manual or automatic

nategemea kufanikisha project yangu kwa mafanikio kwa ushauri kutoka kwenu:
 
Mwekezaji, kwa joto lililopo Dar huhitaji hiyo Proofer kwani lile dongo (dough) linaumuka lenyewe bila kuhitaji proofer. Kwa slicer na ile mashine ya kukatia vipande vidogo vidogo vya lile dough, hapa TZ kwetu sijaiona lakini ziko Nairobi pamoja na kwamba bei zake ni mbaya mno.
Tunaweza kukuagizia kutoka Marekani zile ambazo ni used ili uwe na nafuu ya bei.
Tuandikie : pacificamarine@yahoo.com ili tukusaidie.
 
mkuu nashukuru kwa ushauri, ingawa sipo dar lakini naitaji proofer kwasasbabu mashine yangu ya kuokea ni ndogo na naitaji kuipigisha mzigo pasina kupumzika. na kwakuwa nahitaji vitu hivi haraka nianze shughuli hii nahisi sitakuwa na muda wakusubiri kuagiza toka nje, I prefer to pic and pay .
 
That is fine. Niambie kwa kifupi, vipi soko la mikate linalipa?

mkuu kama sijakusoma vibaya unataka kujua kama soko la mikate lipo!! kama ni hivyo unamaanisha basi ni kweli soko lipo walaji ni wengi na mikate inatafunwa sana hapa ! tatizo kwenye uzalishaji gharama ndio zinaweza kuwa kikwazo kwanza kukatikakatika kwa umeme! na bei ghali ya umeme na hata upatikanaji wa malighafi inabidi uagize toka kwenye miji mikubwa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom