Nyumba mpya ya Kupanga Kijitonyama


K

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Messages
1,261
Likes
81
Points
145
K

kasinge

JF-Expert Member
Joined May 22, 2011
1,261 81 145
Nyumba mpya Kijitonyama inapangishwa. Ina bed room 2 na master 1 zote kubwa. Ina jiko kubwa pamoja ba public toilet. Pia inafikika kirahisi maeneo karibu na Kigango cha RC eneo la Contena Bar. Iko fenced na kar parking ipo kama magari mawili. Kodi sh. 700,000 kwa mwezi. Hakuna dalali, unakutana na mwenye nyumba moja kwa moja. Kwa mawasiliano, piga 0713 377 616.
 
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Messages
4,077
Likes
1,510
Points
280
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2010
4,077 1,510 280
hee nyumba laki 7 kwa mwezi.mbona bei hivyo?
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,387
Likes
30
Points
145
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,387 30 145
Ukiona bei ghali basi hili tangazo halikuhusu.. Ngoja nisepe zangu manake pia sihusiki hapa :car:
Kama ni hivo hilo tangazo haliwahusu wengi sana labda wafanyakazi wa kigeni wa mashirika ya kimataifa wanaokaa Dar au mafisadi wa epa lakni kwa Mtanzania wa kawaida ni ngumu sana
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,105
Likes
12,090
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,105 12,090 280
Du hyo bei anapanga nani? Acha masikhara bei kubwa sana!!!
 
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,263
Likes
169
Points
160
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,263 169 160
Kama ni hivo hilo tangazo haliwahusu wengi sana labda wafanyakazi wa kigeni wa mashirika ya kimataifa wanaokaa Dar au mafisadi wa epa lakni kwa Mtanzania wa kawaida ni ngumu sana
Nimependa avator yako. Boeng 747 Air Force One. Dah!
AirForce1_Desk_B_P2.jpg

Muda si mrefu nilikua naangalia documentary moja hivi kwenye tv kuhusu hii mambo
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,003
Likes
6,126
Points
280
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,003 6,126 280
Kwa hii bei ukipata mteja pm me nikupe champagne ya bure.... be serious..... This is biggest ever problem to Tz... mtu anapost kitu hata kwa bei aliyoweka still can't get a customer.... may be tshs 250,000/= ndio utapata...

QUOTE=kasinge;5098448]Nyumba mpya Kijitonyama inapangishwa. Ina bed room 2 na master 1 zote kubwa. Ina jiko kubwa pamoja ba public toilet. Pia inafikika kirahisi maeneo karibu na Kigango cha RC eneo la Contena Bar. Iko fenced na kar parking ipo kama magari mawili. Kodi sh. 700,000 kwa mwezi. Hakuna dalali, unakutana na mwenye nyumba moja kwa moja. Kwa mawasiliano, piga 0713 377 616.[/QUOTE]
 
A

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,458
Likes
65
Points
145
A

Akiri

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,458 65 145
Kwa hii bei ukipata mteja pm me nikupe champagne ya bure.... be serious..... This is biggest ever problem to Tz... mtu anapost kitu hata kwa bei aliyoweka still can't get a customer.... may be tshs 250,000/= ndio utapata...

QUOTE=kasinge;5098448]Nyumba mpya Kijitonyama inapangishwa. Ina bed room 2 na master 1 zote kubwa. Ina jiko kubwa pamoja ba public toilet. Pia inafikika kirahisi maeneo karibu na Kigango cha RC eneo la Contena Bar. Iko fenced na kar parking ipo kama magari mawili. Kodi sh. 700,000 kwa mwezi. Hakuna dalali, unakutana na mwenye nyumba moja kwa moja. Kwa mawasiliano, piga 0713 377 616.
[/QUOTE]
we kwa nini unapenda kuponda matangazo na bei za wenzako , unataka kutuambia kwa Jf ni sehemu ya watu wa hali yako , wewe ni hicho kisichana kila tangazo mnaponda bei nahisi bado unanuka maziwa
 

Forum statistics

Threads 1,238,197
Members 475,856
Posts 29,312,527