htc one x special edition for beats by dr dre,it is brand new in box with beats by dr dre earphone,charger for charging,usb wire,crystal case,screen protector and sim card ejector.am selling this...
Habari
Natafuta nyumba chakavu in Dar ambayo iko barabarani kwenye mzunguko waa watu wengi ambapo unaweza kufungua biashara, Chaa msingi iwe sehemu Nzuri ambapo badae unaweza kujenga naa kuweka...
USED LISTERPETTER 27KVA UK GENERATOR Price: $US 8,000
HI ALL IM SELLING USED UK LISTER PETTER 27KVA GENERATOR WITH THE FOLLOWING SPECIFICATION
21KW
AMPS 37
V 415
3...
Nauza samsung galaxy s2, used, imetumika miezi mitano. Inakuja na accessory zote plus screenguard na black cover, haina scratches kwenye screen. Bei tsh 560000. Kama uko interested nipm, au...
Yard ya kuuzia magari
ina ofisi ya vyumba 3 pamoja na viti na meza zake
na choo na store pamoja na flem kubwa kwa mbele
eneo la kuengesha magari ya kuuza magari 20 mpka 25 kwa wakati mmoja...
Wauzaji wa kampuni ya kuuza mazao ya asili ndosa mmari supply wanayo furaha kukutaarifu ya kwamba wanatoa punguzo kwa bidhaa yao ya mafuta ya ubuyu..
Kwa mawasiliano: +255716955722...
Habari wana JF,naamini ya kumu ni wazima na MUNGU anaendelea kuwajalia,kama nilivoeleza hapo juu,Mtu unaweza kuwa na ndoto flani zako ili utimize ila unashindwa kutokana na sababu flani, nasema...
Naandika mashairi na tenzi zenye vina na mizani kwa shughuli tofaut kama sherehe ya harusi, kipaimara, ekaristi, ubatizo, send off, birthday, nk. Mashairi ya faraja, mapenzi, ujasiri nk. Bei ni...
Nauza VOLKSWAGEN PASSAT 2001 MODEL.
Gari lipo katika hali nzuri
Comprehensive Insurance till November 2013.
The car is available for test drive.
Gari imeingia nchini March 2011, Namba zinaanza...
Wakuu nilikuwa na kuku wa nyama (wa kisasa) 500 nimeuza wamebaki 150.bei yangu ni Tsh 4500 each.Wanauzito wa wastani si wadogo (Sijapima uzito wao).kama unahitaji ni pm au piga no.0763953759...
Huwezi amini lakini ndio hivyo tena,kwa wale wenye pesa zao na wanahitaji kupamba vyumba vyao kwa kuweka kapeti ktk ukuta basi tupo kwa ajili yenu,bei zetu ni nzuri usisite kuwasiliana nasi...
Habari,
Natafuta housemate
Nimepata nyumba kijitonyama, mtaa wa kakobe (mtaa 1 kabla ya barabara ya Africa sana - K'nyama) mita 100 kutoka barabara ya science- mtogole...natafuta housemate...
Jumba lipo Temeke, Mbagara maji matitu lina sifa zifuatazo
km 2 toka barabarani na km 22 toka posta mpya kumbuka ujenzi wa barabara ya kisasa unaendelea
umeme maji vipo
chini tiles juu qypsum...
Ninahitaji corolla spacio new model haraka sana.Cha msingi gari iwe kwenye hali nzuri na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.