Yard inapangishwa ipo barabara ya zamani ya bagamoyo

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
  • Yard ya kuuzia magari
  • ina ofisi ya vyumba 3 pamoja na viti na meza zake
  • na choo na store pamoja na flem kubwa kwa mbele
  • eneo la kuengesha magari ya kuuza magari 20 mpka 25 kwa wakati mmoja
  • inapangishwa kwa Tsh 1.5m kwa mwezi
  • tuwasiliane 0657 145555 na 0755 099 291
  • mimi ni dalali mwenye mali yupo
 

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
15,121
12,477
Hahaaaaaa...!!! soon i will own my piston revolver....

Property values still a nightmare kwa shuleless like u....
 

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
Ww tapeli mkubwa kabisa, just wait Wana jf wakujue...

dalali kilaza, kihiyo all names u possess.... utapeli wako utakutokea masaburini...!!!

wana Jf wanijue mara ngapi kila siku na fanya biashara na member wa jf sasa ninyi watoto mmepata hizo vyeti imekuwa tabuuu , hujaanza leo kila tangazo wewe unatukana . mimi nina hakika na kazi yangu na number yangu hiyo . niko kinondoini una malala miko njoo au nenda police, sasa ukiona tangazo unanisi kilaza kwani elimu yako ww mm inanisaidia nn zaidi imekuwa kero tu , sijua una elimu gani maana huenda nimekupita.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom