Mashairi! Mashairi!

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,466
2,000
Naandika mashairi na tenzi zenye vina na mizani kwa shughuli tofaut kama sherehe ya harusi, kipaimara, ekaristi, ubatizo, send off, birthday, nk. Mashairi ya faraja, mapenzi, ujasiri nk. Bei ni nafuu. Kwa mawasiliano zaidi 0765778250, 0718651585 au nyawalen@gmail.com au nichek facebook [Balozi wa moro]. Zingatia:NAANDIKA MASHAIRI ILA UTAGHANI MWENYEWE! Aksante
 
serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,252
2,000
na mashairi ya nyimbo je? Nataka nianze kuflow reggae for my own interest but sina vina
 
englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,256
2,000
Naandika mashairi na tenzi zenye vina na mizani kwa shughuli tofaut kama sherehe ya harusi, kipaimara, ekaristi, ubatizo, send off, birthday, nk. Mashairi ya faraja, mapenzi, ujasiri nk. Bei ni nafuu. Kwa mawasiliano zaidi 0765778250, 0718651585 au nyawalen@gmail.com au nichek facebook [Balozi wa moro]. Zingatia:NAANDIKA MASHAIRI ILA UTAGHANI MWENYEWE! Aksante
unatakiwa ulipie gharama ya tangazo lako,hakuna cha bure siku hizi.
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
6,605
2,000
hiyoo mibangii tunayovuta, ni stimu za kulandukaa
tamaa sio faniiii,jamani mtakuja kuumbukaaa
 
Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,466
2,000
embu tuandikie shairi la JF hapa,tukupime.

sema nimeandika fasta.umu NI KAWAUNJA KADOGO, KA UHURU WA KUSEMA.
UWANJA USO NA WIGO, KILA NYANJA HUTAZAMA.
JF KAMA GEGO, HULA MIFUPA NA NYAMA.
NI MWIBA KAMA WA NGOGO, KWA MSHIKILIA UMMA.

Yap! Let u comment
 
che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
225
Good idea, mi nimekuelewa zaidi, kula kwa talent yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom