Nyumba kijitonyama - 130,000

A

Ayster

Member
Nov 19, 2012
43
95
Habari,

Natafuta housemate

Nimepata nyumba kijitonyama, mtaa wa kakobe (mtaa 1 kabla ya barabara ya Africa sana - K'nyama) mita 100 kutoka barabara ya science- mtogole...natafuta housemate

SEHEMU YA HOUSEMATE:

upande wake unaojitegemea, chumba 1 na sebule (vimeunganishwa) anaingia kwenye geti lake peke yake.

Choo kipo kwa nje (ndani ya fense)

Kodi: 130,000 inalipwa kwa mwaka

Maji yapo....nyumba inapangishwa kuanzia tarehe 20/12/2012

Ni Pm au email mbaruku_rehema@yahoo.com
 
M

marty

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
778
170
130 kodi ya nyumba nzima au ni kodi anayotakiwa kulupa housemate?
 
A

Ayster

Member
Nov 19, 2012
43
95
130 ni kodi anayotakiwa kulipa house mate.
 
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,083
1,500
samahani rehema ila hyo kodi ya laki na 30 ni kwa mwaka au kwa mwezi mana naona maelezo ni tofauti na hali ya nyumba?kwa mwez au mwaka?
 
Top Bottom