Car4Sale Toyota starlet

Camo97

Member
Jul 13, 2019
13
1
Toyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote
 
Attachments

  • 7A9BBA3E-A36D-4280-8841-EE5033DF153A.jpeg
    7A9BBA3E-A36D-4280-8841-EE5033DF153A.jpeg
    71.9 KB · Views: 45
  • 50ABE93C-7B87-4A47-B4E6-49157ED96C78.jpeg
    50ABE93C-7B87-4A47-B4E6-49157ED96C78.jpeg
    66.5 KB · Views: 42
  • 204E7E5B-FE0E-49FD-A1E3-08936B96D1F3.jpeg
    204E7E5B-FE0E-49FD-A1E3-08936B96D1F3.jpeg
    85 KB · Views: 41
  • 6E7BB489-E486-4B8B-A022-6562E5855C40.jpeg
    6E7BB489-E486-4B8B-A022-6562E5855C40.jpeg
    77.1 KB · Views: 39
  • E7439714-F4B2-403C-92E0-D19B0DD4B55B.jpeg
    E7439714-F4B2-403C-92E0-D19B0DD4B55B.jpeg
    62.2 KB · Views: 41
  • 0B408D48-89CC-4DE6-B2F6-3102A05F3DE8.jpeg
    0B408D48-89CC-4DE6-B2F6-3102A05F3DE8.jpeg
    71.6 KB · Views: 40
  • 7CD5EFC6-485A-4D8E-A809-FAE3BD10013A.jpeg
    7CD5EFC6-485A-4D8E-A809-FAE3BD10013A.jpeg
    57.7 KB · Views: 42
Toyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote

Mkuu hii gar msipopunguza bei mtaendelea kupiga nayo picha mpka ichakae. Kuna siku nlikua natafuta starlet nkaletewa sehem hii toka mwezi wa 7 mpka leo bado ipo? Kwanza yule dogo aliyeachiwa hyo gar sijui ni dalali hajui kuongea na wateja vzr. Km wewe ni mwenyew punguza bei lakin km ni madalali punguzeni cheni.
 
Naona broh! Umeamua kuchomoa betri!
 
Mkuu hii gar msipopunguza bei mtaendelea kupiga nayo picha mpka ichakae. Kuna siku nlikua natafuta starlet nkaletewa sehem hii toka mwezi wa 7 mpka leo bado ipo? Kwanza yule dogo aliyeachiwa hyo gar sijui ni dalali hajui kuongea na wateja vzr. Km wewe ni mwenyew punguza bei lakin km ni madalali punguzeni cheni.
Kama uko serious na biashara njoo PM tuongee biashara
 
Mkuu hii gar msipopunguza bei mtaendelea kupiga nayo picha mpka ichakae. Kuna siku nlikua natafuta starlet nkaletewa sehem hii toka mwezi wa 7 mpka leo bado ipo? Kwanza yule dogo aliyeachiwa hyo gar sijui ni dalali hajui kuongea na wateja vzr. Km wewe ni mwenyew punguza bei lakin km ni madalali punguzeni cheni.
Kwahyo ile siku nakuletea gari ulikuwa unanichora tu kwanini hukunambia palepale kuwa sjui kuongea na wateja
 
Tatizo mikono mingi, yaani unakuta aliyepost ni dalali wa nne na kila dalali kaongeza cha juu..

5.5 kwa starlet ni Anasa, Bora ingekuwa Carina... Fanya 2.8M nikuletee mteja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom