harryjerry
Member
- Aug 23, 2017
- 37
- 53
Nauza kiti cha ofisini bado kiko vizuri nauza shilingi 70000 napatikana mwananyamala kwa kopa namba yangu 0716647360
Asee. Labda kuna stuli imebakia😀Sasa hapo job mtakaa chini?
Kinapanda juu na kushuka au ni vile vipo fixed?
Bora kiwe kinashuka tuNdio kinapanda na kushuka
Aisee 😁😁😁Sasa hapo job mtakaa chini?