mambo vipi?
okay, mimi leo nimekuja na used iPhones mbalimbali kwa affordable price.
iPhone 3GS kwa tsh 3.5k
iPhone 4S kwa tsh 5k
iPhone 5 kwa tsh 8k
kwa anyone who is interested anaweza...
computa hp flat screen specification zake pentium R dual-core cpu E5400 @ 2.70GHZ 2.69GHZ,1.96GB OF RAM inauzwa ipo kwenyehali nzuri nimetumia miezi nane n original natoa galantii mwaka 1 kama...
CGS Tanzania Limited Imeamua kuipa nguvu biashara yako kwa kukusambazia Vifaa vya stateoneries na office equipment kwa gharama nafuu popote tanzania
-Utaweza kufanya Order Online na kupokea mzigo...
Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali...
HP desktop dc5000........ GB 80, processor 3.20 ram 512 wahiii....jumatatu hii.. namba yangu ya simu ni 0764435828 au tigo kwa 0718512630... kwa 130000 tu igoogle hiyo model uione
KIWANJA KINAUZWA
Kiwanja kipo km 30 kutoka mbagala
ni njia iendayo kusini mwa tz,,
kinauzwa mill 1.3 maelewano yapo
kina hati ya serikali ya kijiji
ni robo ekari kipo nusu km kutoka barabara...
Hii ni Panasonic dmc-fz100 14.1MP ni moja ya Camera zilizo sifika kwa ubora na uzuri wa picha.Bei yake ni Tshs 850,000.Imetumika lakini ipo katika hali nzui kabisa na ilitumika Uingereza na sasa...