computa inauzwa bei nafuu sana

computa inauzwa bei nafuu sana

mfobi

Senior Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
105
Reaction score
78
computa hp flat screen specification zake pentium R dual-core cpu E5400 @ 2.70GHZ 2.69GHZ,1.96GB OF RAM inauzwa ipo kwenyehali nzuri nimetumia miezi nane n original natoa galantii mwaka 1 kama unahitaji wahi mapema sana kwa mawasaliano zaidi email magovela90@yahoo.com jitaidi uwahi mapema sana upate mzigo safi asante?
 
Bei shingapi

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
Kwani umeambiwa hatuwezi kuoata madukani kny guarantee za uhakika?
 
watu wengine bhana wanasikitisha,ata asemi mahali alipo,apa jf kuna watu toka pande zote za dunia,picha aiweki,bei aiweki,harafu inalalamika jumuiya ya africa mashariki kenya watachukua ajira zote,kwa mtindo huu mnategemea nini
 
we bei poa ni sh.nagapi kaka au maana sikuelewi hapo
weka hiyo amount kabisa ili tukusome
 
Nani mwenye shida na hayo ma-desk top siku hizi, kitu laptop bwana.
 
Nani mwenye shida na hayo ma-desk top siku hizi, kitu laptop bwana.

Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa, na vyote vinahitajika kila kimoja kwa muda wake, kamata desktop hiyo mama, ile ofisi unayotaka kufungua inahitaji desktop zaidi ya moja, lols!
 
Nimekuwa Ciello tena jamani!!! Mimi ni mtawa wakati Ciello siyo.
Wewe ni mtawa yupi kati ya hawa watawa wa kisasa ambao wameingia utawa baada ya kunahiniwa sana na hata sasa ndio wanaowahudumia mapadiri wazin.. au wewe ni wale watawa wa kizamani, ambao wao walikuwa wanaingia utawa kabla bado?.
 
Mimi ni hybrid ya kizamani na kisasa. Mengine utajaza mwenyewe.
 
Mimi ni hybrid ya kizamani na kisasa. Mengine utajaza mwenyewe.
Nimejaza, ila pia na mimi ni pasta wa hizi imani mpya za kisasa za wokovu, uwezo na unajiri, siku mambo yakikuendea kombo huko kwenye "convert" njoo nitakupatia "baraka" kwa njia za kisasa mfano kuna mwanamke mmoja mke wa mtu, alipatiwa baraka na "mtume na nabii" fulani, akajikuta amemshawishi mumewe kumkatia "nabii" pande la kiwanja chao ili wawe majirani, nabii ajenge pale mibaraka iendelee kutirirka kwa ukaribu!.

Nitafutie nafasi nikubariki!.

P.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom