Natafuta gari toyota cresta haraka

Natafuta gari toyota cresta haraka

Napatikana Dar, muda wa kazi 07hr30-16hr30 napatikana Posta, wikiendi napatikana nyumbani Kimara
 
mie ninayo...4cylinder ya mwaka 2001 apr.
Rangi black metaric.......12.6m.
 
Ninayo gari ya aina hiyo nilinunua miezi 3 iliyopita ipo kimara ukitaka hata leo.....................imelipiwa kila kitu na service ya hali ya juu.
 
Zipuwawa......vema je kesho naweza kuiona? Nitakupa mawasiliano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom