Rim paper a4 kwa sh 5000

Rim paper a4 kwa sh 5000

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
34
wapendwa naomba mnisaidie sehemu yeyote wanapouza rim paper kwa hyo bei lakini isiwe za wizi,ASANTENI SANA
 
rim paper ninini? Mie najua kwa Kiingereza ni " a ream of paper size A4. Hiyo uliyotaja wewe haijulikani.
 
Kwa Dar es Salaam bei ya chini ni shilingi 10,000. Vinginevyo nenda nchi za nje
 
weeeee pumbavu nini kwani maisha ni jamiii forums tuuu kama vp nipotezeeni kama mmemind sana semeni kwa huyo adimn wenu aniban
 
Kwa Dar es Salaam bei ya chini ni shilingi 10,000. Vinginevyo nenda nchi za nje

Una uhakika na unachokisema au umeandika tu? Bei ya jumla elf6, that means rejareja unapata kwa elfu7!!
 
Back
Top Bottom