nyumba nzuri na ya kisasa inakodishwa,ipo maeneo ya mbezi hapa goigi.
ina ac mbili na security system na ni rahisi kufaki kwa gari.kwenda kwa gari hadi kwenye nyumba ni dk 3 kwenda kwa miguu ni...
Eneo la ukubwa wa hekari 3 kwa ajili ya parking na matumizi mengine linauzwa.
Bei: maelewano
Eneo lipo: Chapwa- Tunduma mita 70 kutoka barabara kuu ya Mbeya-Tunduma
Kwa Mawasiliano: 0717378462...
Vitalu/Plots/ Primary Mining License (PMLs) vya madini ya Dhahabu, Shaba na Alumasi vinauzwa.
Eneo: Iramba-Singida kwa zile (PMLs) za Dhahabu & Alumasi
: Chunya-Mbeya kwa zile(PMLs) za...
Wadau!
Tunatafuta wadau wawili au watatu wa uhakika wenye uwezo wa ku supply kwa pamoja jumla ya tani 500 kwa mwezi za PET flakes (makopo matupu yanayotumika kutunza maji ya kunywa, soda, n.k)...
Dear Customers, we wish to announce that 25 Gold, Diamond and Copper Primary Mining License (PMLs) are on sale.
Location: Iramba- Singida for Gold & Diamond PMLs
Chunya- Mbeya for Copper PMLs...
Wakuu kuna mashine fulani nataka kuagiza from China, na inaweza fikia Bandari ya Dar, sasa naomba kujua utaratibu wa kuichomoa huko Bandarini, Je ni lazima kutumia mawakala hata kwa hako kazigo...
Kiwanja cha hekali mbili kinauzwa kibaha pembeni ya tra kipo barabarani kinafaa kwa godown au kituo cha kuuzia mafuta bei 470 milioni kwa mawasiliano nipigie 0713935738 maelewano yapo upande wa bei.
dell insparion N5010,wide scree HD webcum,RAM 4gb, hard disk 500 gb,i3 dual core 2.6 pia ina DVD writable....mzigo ni wa ukweli bei ni laki 9 ila maelewano ypo.
Ukiona hii bei huielewi we jaribu...
dell insparion N5010,wide scree HD webcum,RAM 4gb, hard disk 500 gb,i3 dual core 2.6 pia ina DVD writable....mzigo ni wa ukweli bei ni laki 9 ila maelewano ypo.
Ukiona hii bei huielewi we jaribu...
nna nokia E63 iko poa na ina full apps kam whatsapp,skype,nimbuzz,wechatapp,joiku.,netqin na nyngne nyingi tu...OS ni symbian s60v3...price ni 160 tu...kam unaipenda ni PM
SOLD ***** SOLD ***** SOLD
Nauza Blackberry curve 8520, Nimeshaitumia, ina few scratches lakini Inafanya kazi vizuri sana. Bei ni 100,000 tu. Inakuja na charger yake original.
SOLD ***** SOLD...
Viwanja 4 vinauzwa vina hati vipo maeneo mazuri 1, sqm 790 bei ml 11, 2, sqm780 bei ml11 3, sqm 760 ml 10, 4, sqm 720 bei ml 10. Huduma za jamii zipo ni pazuri kwa makazi na biashara kwa...
Naleta habari njema kwa wafugaji wa kuku. Jamani natafuta mayai ya kuku wa kisasa na kienyeji. Mwenye mayai aniambie bei na anaweza toa tray ngapi kwa wiki.
Kina ukubwa wa robo ekari(30 kwa 30) unaweza kujenga nyumba ya vyumba sita na mabanda ya uwani.
Kipo takribani robo km kutoka barabara kuu iendayo kusini.
Ni km 27 mpk 28 kutoka mbagala nauli...