CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
Wakuu kuna mashine fulani nataka kuagiza from China, na inaweza fikia Bandari ya Dar, sasa naomba kujua utaratibu wa kuichomoa huko Bandarini, Je ni lazima kutumia mawakala hata kwa hako kazigo kamoja? na mwenye detail za hao wakala wa mizigo midogo midogo naomba anipatie