500 Tons za makopo zinahitajika kwa mwezi!

500 Tons za makopo zinahitajika kwa mwezi!

G12

Senior Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
156
Reaction score
51
Wadau!

Tunatafuta wadau wawili au watatu wa uhakika wenye uwezo wa ku supply kwa pamoja jumla ya tani 500 kwa mwezi za PET flakes (makopo matupu yanayotumika kutunza maji ya kunywa, soda, n.k).
Ikiwa upo Tanzania na una uhakika unaweza ku supply kiwango hicho kwa mwezi. Tafadhali tuwasiliane kupitia e-mail hii(info@g12.hk).

Naomba kwa wale wenye uwezo huo ndio wanitafute, hii biashara ina process zake ambazo siyo rahisi kwa mtu ambaye hana investment ya kutosha.

Pia inawezekana huna investment, lakini unajua namna ya kupata haya material, usisite kunitafuta then nitakuunganisha na wadau wakubwa ili uweze kuuza kwao, finally sisi tutanunua kwao, ili kurahisisha mchakato mzima na kuhakikisha kila mwenye interest anafaidi kulinagana na mchango wake.

Nyongeza kuhusu makopo tunayotaka:
The recycling source of PET flakes is usually from soft drink bottles. Such as Coca bottle, sprite bottle, mineral water bottle

G12 International Company Ltd.
 
Ni ya plastic au aluminium?

Ndugu, ni ya plastic.

Soma hapa:
The recycling source of PET flakes is usually from soft drink bottles. Such as Coca bottle, sprite bottle, mineral water bottle
 
Hii biashara ni nzuri kwa mazingira, wadau mnaosema hamna ajira au biashara kazi kwenu/
 
Fob Dar es salaam port,per ton?

Ndugu nadhani nimeeleza tangu mwanzo. Ikiwa unataka hiii tender, niandikie e-mail, utapata majibu ya maswali yako yote.

Naamini nimeeleweka.

G12 International Co. Ltd
 
Wadau!

Tunatafuta wadau wawili au watatu wa uhakika wenye uwezo wa ku supply kwa pamoja jumla ya tani 500 kwa mwezi za PET flakes (makopo matupu yanayotumika kutunza maji ya kunywa, soda, n.k).
Ikiwa upo Tanzania na una uhakika unaweza ku supply kiwango hicho kwa mwezi. Tafadhali tuwasiliane kupitia e-mail hii(info@g12.hk).

Naomba kwa wale wenye uwezo huo ndio wanitafute, hii biashara ina process zake ambazo siyo rahisi kwa mtu ambaye hana investment ya kutosha.

Pia inawezekana huna investment, lakini unajua namna ya kupata haya material, usisite kunitafuta then nitakuunganisha na wadau wakubwa ili uweze kuuza kwao, finally sisi tutanunua kwao, ili kurahisisha mchakato mzima na kuhakikisha kila mwenye interest anafaidi kulinagana na mchango wake.

Nyongeza kuhusu makopo tunayotaka:
The recycling source of PET flakes is usually from soft drink bottles. Such as Coca bottle, sprite bottle, mineral water bottle

G12 International Company Ltd.

Wadau wa JF!
G12 kama kawaida yetu tunakuja na habari za ukweli kila siku.

Tangazo:-
Tunatatengeneza magari aina ya Pickup SUV,Tricycle,Mini moke,VAN(Mini bus), n.k. Tunatafuta watu katika nchi zinazoendelea ili tuweze ku saini nao mkataba wa ushirikiano, tuanzishe Automobile Assembly Plant Project katika nchi husika.

Pia, tunatafuta distributors au retailers katika nchi zinazoendelea ili aweze kuuza mzigo wa magari tuliokwisha na tutakayotengeneza.

Tangazo hili liko abstract sana, lakini ikiwa una interest, tafadhali tuandikie kupitia info@g12.hk kwa maelezo zaidi.
Ukipata tangazo hili mtaarifu na mwezio.

mkuu

out of curiousity, una project nyingi sana kuna pia bandiko lako lingine kuhusu solar panels

unawezaje ku-manage efficiently? tupe siri ya mafanikio including pros and cons

are the ads realistic? mmhhh
 
Bongo Daslam shhhhhhhhhhhhh
 
Heheheheh! Imebidi nicheke kwanza...

Mkuu, ni kweli kabisa hizi project ni kubwa sana, lakini nachwezakukwambia ni kwamba wadau wetu hapa wana fund ya kutosha itakayolipia mahitaji yote ya hizi project.

Ndugu zangu tuache kuwa na woga wa kuthubutu, kuna watu hapa duniani wana fedha za kutosha, wanatafuta sehemu za kuwekeza kila kona ya dunia, hasa nchi zinazoendelea.

Nakushauri chagua moja unayoona inakufaa, then thubutu kuwekeza katika hilo.

Kuna topic nitampa mwandisi mzuri aiweke hapa jamvini kuhusu wachina+uongozi wao unavowahamasisha wawekeze katika nchi za Africa, hasa kusini mwa Africa.

Pamoja ndugu.
 
Bongo Daslam shhhhhhhhhhhhh

Mdau naona unadhani tunafanya usanii.

Hizi project zikipitishwa kinyemela huko serikalini mtasema hazikutangazwa.

Najua si wote wenye uwezo, basi wapeni ndugu au jamaa wanaoweza kutoa muda wao katika hizi project.

Pamoja ndugu.
 
nakuandikia email sasa hv ngoja niajiri vijana wa kuniletea makopo sema tatazo ni sehemu ya kuweka lkn powa
 
Makopo haya ya uhai mpk ufikishe tani 500!! ni leo?? ........
 
Makopo haya ya uhai mpk ufikishe tani 500!! ni leo?? ........
Mdau nashukuru kwa kuliona hilo.Ndio maana tukasema kwa wenye uwezo tuu.Bonyeza HAPA kuona bandiko letu.Pamoja
 
nakuandikia email sasa hv ngoja niajiri vijana wa kuniletea makopo sema tatazo ni sehemu ya kuweka lkn powa

Ndugu!
Tender inasomeka HAPA.
Unakaribishwa.

G12
 
Back
Top Bottom