TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
JVC PROFESSIONAL VIDEO CAMERA GY-DV5000 (inafaa kwa movie au tv media studio ama kwa sherehe )
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea Uingereza nauhakika mpaka ijumaa itakuwa imefika.Bei yake ni milioni 3 ila kuna tatizo moja dogo ambalo charger yake ilsahaulika UK na tunategemea mzigo mwingine utafuata mwezi unaokuja kwa hiyo charger itakuwa ni miongoni.Camea hii imetumika lakini imetunzika vizuri sana na kuiweka katika hali nzuri na haina shida yoyote.Uzuri wa Camera hii ni kwamba inatumia Cassette aina mbili yani ndogo na kubwa.Battery zipo 2 na zinazo uhai bado kwahiyo yoyote atakaekwenda kuijaribu ataweza kufanikiwa kuiwasha.Hapa naweka picha ambayo ni mfano wake na nyingine ni video.Naomba kwa yeyote kama atakuwa na interest tafadhali ni PM ama piga namba ya simu 0766915299.MAELEWANO YAPO. http://mediaschool.ohio.edu/Websites...000_Manual.pdf
Attachment 74656Attachment 74657
3CCD 1/2 inch IT Professional DV Camcorder with Standard and Mini DV cassette compatibility
Main Features:
Additional Features:
Attachment 74656Attachment 74657
3CCD 1/2 inch IT Professional DV Camcorder with Standard and Mini DV cassette compatibility
Main Features:
[*=left]3-CCD camera for high picture quality
[*=left]Ultra-high sensitivity F13 @ 2000 Lux
[*=left]Newly-developed 12-bit ADC and 12-bit DSP
[*=left]Wide dynamic range of 400%
Additional Features:
[*=left]Full Auto Shooting for when every thing about you is happening too fast
[*=left]Colour matrix to ensure natural, true to life colours
[*=left]Tri-mode 2.5" LCD display. Video only or with your choice of additional information
[*=left]Lolux 0.4lx @ F1.4. News as it happens won't wait for you to set up lights. This camera can capture the action as and when it happens
Specifications
|