Dawa jamani

Dawa jamani

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Hellow fungus wananimaliza msaada wa dawa jamani ila matus na utani havifai I am serious
 
Pole. Kwa nini usiende hospitali? Search humu kuna ushauri wa kutosha juu ya fungus.
 
Kuna jukwaa la afya ndo kwenye magwiji wa matatizo kama lako huku viwanja na simu babu
 
Kama ni wako sauzi afrika tumia cream au vidonge ukienda maduka ya dawa watakuuzia ,pia tafuta makufuli ya cotton(pure cotton)ni makufuli ya bei kubwa kulinganisha na hizo cotton za kitaa,pale Woolworth wanauza hizo ni nzuri na hakikisha unadili kila siku na unavaa zilizokavu,pia hakikisha sauzi afrika kumekuwa kukavu
 
Inategemea pale sauzi afrika pameliwa kiasi gani, nenda kwa daktari fasta akupe medication na pia kuvaa manguo mengi kwa ndani kunachangia sauzi africa pawe na unyevu unyevu ambao huchangia fungus kuzaliana, ogea dettol na ulale uchi huku umepatanua sauzi afrika, usafi ndo key ya kuepukana na fungus...mwone daktari fasta.
 
Hellow fungus wananimaliza msaada wa dawa jamani ila matus na utani havifai I am serious

Use tea tree creme or shower gel .Desert of Essence products .www.desertessence.com.Good luck
 
Back
Top Bottom