habari JF, Kuna nyumba kubwa na ndogo zinapangishwa karibu na mlimani city. nyumba kubwa ina vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula,sehemu ya jiko, public toilet. katika vyumba hivyo vitatu...
habari JF, Kuna nyumba kubwa na ndogo zinapangishwa karibu na mlimani city. nyumba kubwa ina vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula, jiko, public toilet. katika vyumba hivyo vitatu kimoja wapo ni...
Chumba kina choo pamoja na sitting room , kipo ndani ya gate gari inaingia luku mnatumia familia 2 . kipo maeneo ya Fao hapa kinondoni , kodi laki 140,000 unaweza lipa hata miezi 6. mimi ni...
jamani kwa wale ambao wanatafuta fundi wa computer nipo unaweza kunipigia 0655684396,nafanya installation ya windows ssp2,ubuntu,ssp3,7,antivirus,maintanance
wadau kwa anayefahamu utaratibu wa kupata viti ,meza na friji kutoka kwenye makampuni ya soda(pepsi & cocacola) na bia kwaajili ya Bar ,naomba anifahamishe.
Wadau naulizia bei ya water tanki lenye kuchukua ujazo wa lita 5000. kama inawezekana mwenye ufahamu na haya mambo anipe bei na kiwanda lilipotengenezewa.
Natanguliza shukrani zangu.
Nyumba ya kupanga inatafutwa, iwe na vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master na choo cha public kizuri, sebule, jiko safi, stoo na vyumba vingine muhimu, maeneo kuanzia kurasini, chang'ombe...
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada,
Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri wa skimming, kupaka rangi, tiles na gypsum ceiling, naomba anipe contact zake either hapa jukwaani au ani PM.
Site ipo...
NAUZA GOOGLE NEXUS 7 TABLET,IMETOKA USA AND VERY LITTLE USED.
PRICE 550000/= CALL O714486466
Display
[*=left]Type7 in,
IPS TFT active matrix - LED backlight
[*=left]Display Resolution1280 x...
Ikiwa bado ni siku kadhaa kabla ya mfumo wa Analogue Broadcasting kuzuiwa rasmi, Watanzania esp. wakazi wa jiji kuu wapo katika pilikapilika za ununuzi wa ving'amuzi ili waendelee kupata huduma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.