Fao ndio maeneo ya karibu na kinondoni studio au???
hakinakina jiko?
Sure 100%..!!halafu kuna hali ya hewa nzuri sn..the promise land Njombe!!daaahh!huko njombe nilisha ishi chumba 6000 safi kabisa umeme maji muda wote,maisha ya town huwezi fananisha na mkoa mkuu